Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,987
- 142,384
1.Je, ni wapi palipoanzia uzushi huu hadi ukasambaa dunia nzima?
2.Je,ni njia gani ilitumika kusambaza uzushi huo hadi ikafanikiwa dunia nzima?
3.Kama zama hizo watu waliamini uchawi kwa sababu ya ujinga je,vp sasa hivi bado watu wanaendelea kuamini huo uchawi?
Wewe unafahamu dalili zote za magonjwa yote?
Na una uwezo wa kumuina mtu mpaka ndani ya mwili wake hata pale dalili zisipoonekana kwa nje?
Mi sijaona sababu ya maana ya kuja kuomba msaada humu hali ya kuwa ushajiridhisha kwa kuamini kuwa kinachomsumbua Anko wako ni uchawi,na wewe ni muumini wa ukristo hivyo ungeenda kutafuta msaada wa hayo matatizo uliyonayo sehemu husika katika dini yako,kuliko kuleta tatizo lako humu kwenye watu wenye imani tofauti na mitazamo tofauti..matokeo yake ndiyo kama unavyoona wengine wanakushauri umuuwe huyo mama,wengine wanakwambia uende kwa mganga,wengine ndiyo wanakwambia hakuna uchawi kabisa.
Uchawi upo sema kuamini upo labda yakukute mambo ya kichawi ndio utaaminiIt's hard to trace its fons et origo. But since the human mind is capable of imagining things and coming up with fairy tales, it is no surprise to me that that is perhaps where (the mind) it started.
Just ask yourself, do leprechauns really exist? What about Santa?
Simulizi na maongezi.
Kwa vile ni vigumu sana kufuta ujinga ndo maana bado hata hivi sasa wapo watu wanaoendelea kuamini hayo mambo kichawi.
Na mara nyingi watu wakiwa hawana majibu ya jambo au tukio fulani basi default sababu huwa inahusisha mambo ya imani, iwe uchawi au dini (mungu).
Uchawi upo sema kuamini upo labda yakukute mambo ya kichawi ndio utaamini
Kwanza mkuu Unaamini katika mungu ???
Kipi kinachokuongoza sasa ??au we ndio mchawi
Mamlaka na power ya kujiongoza hana....Kumuongoza wapi?
Na kwa nini ahitaji kuongozwa na si kujiongoza?
Kipi kinachokuongoza sasa ??au we ndio mchawi
Katika maisha ya duniani...
Vikiwa chini ya mamlaka ya mungu alie juu muweza wa vyote ..Naongozwa na mambo kadhaa - maadili mema, akili, busara, hekima, juhudi na bidii za kujitafutia riziki halali.
Vikiwa chini ya mamlaka ya mungu alie juu muweza wa vyote ..
Mwenye uwezo wa kutoa jua mashariki na kulizamisha magharibi...mpaka kwa akili yako ukatambua huu ni mchana na huu ni usiku...
Yaani yeye ni alfa na omega katika maisha yako
Wewe una uwezo wa kusimamia mdudu aliye chini ya bahari akaishi??
Lazima utambue tu uwezo wako ni mdogo sana.. labda wa kupakiza mshikaki katika boda boda
Umepimaje ukawa na jibu la mwishoSawa, nina uwezo mdogo sana.
Lakini hata huyo mungu mnayemwabudu hana uwezo mkubwa kivile (achilia mbali kama hata yupo kweli!).
Umepimaje ukawa na jibu la mwisho
Kama hana uwezo jaribu zoezi moja dogo tu la kujipiga kitanzi ufe then ulale mpaka siku ya malipo ndio utajua uwezo wake...
Au jiue halafu ujifufue wewe kama wewe then utoe hukumu kwa mungu mkuu wa majeshi awezae kugeuza aliyehai akawa maiti na kufufua maiti na kuipa uhai..kuwa ana uwezo mdogo
Soma utoe ujinga mkuu