Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

Haziwezi kukosekana hizo mkuu
Aisee
a2790e174514b2218468760b75fee3b7.jpg
 
Kwa maelezo yako hata wakwangu atakuwa pia naye na tatizo, hiyo ni randomly
Mkuu kama nimekunote vizuri umesema siku za hivi Karibuni ndo siku zimefurugika it means hapo Mwanzo alikuwa na mzunguko wa kawaida. Kama hivyo ndivyo basi itakuwa ni kutokana na sababu nilizokutajia hapo ila akibalance hivyo vitu basi na siku zake zitarejea kama kawaida.
 
Hapo jamaa yetu akae chonjo siku asipokuwepo karibu unaweza kuita mtu yeyote akugegede uongo?
Inawezekana sana kujikuta ushalalwa na mtunza mifugo lkn tiba mbadala yangu huwa ni kujikanda kwa taulo laini kwa maji ya vuguvugu
 
Back
Top Bottom