KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292
Au umejazia kiaina na uko soft!! Angalia asije akakupaka mafuta.
atakupiga pumbu kenge wewe stuka
Mpaka nandika hivi mjue nimewaza sana sasa hivi anajifanya usingizini umegoma na yeye
Mkuu labda ukilala una koroma sana. Sasa hiyo ina mkera atakuwa Ana kushtua ili ku restart situation. But hata hivyo its awkward wanaume wawili kulala kitanda kimoja
Kiongozi tupo ugenini si wengine wapitaji tu hapa
Au umejazia kiaina na uko soft!! Angalia asije akakupaka mafuta.
Kiongozi tupo ugenini si wengine wapitaji tu hapa
Mrejesho niliammua kujifanya nimesinzia akainuka ila ananigusa tu nimempiga ngumi ya uso alafu zijafuata ngumi nyingi sana mpaka kupelekea watu kuamka maana jamaa alinza Piga kelele watu kuja kuhoji nikamwambia wamhoji yeye iweje asimame kutoka kitandani cha pili kuja hichi usiku tumelala
Akakosa jibu mujibu niliyoyapata jamaa kumbe ni shoga walikuwaga wanasikia chini chini tu kutoka yupo bodingi ila hawakuamini kwa kitendo cha usiku kuamkia leo ndugu zake baazi wameamini ndugu yao atakuwa kweli shoga. Maana hizi Tarifa za kuja wageni wakapewa chumba walale naye akiwemo umo ndani na kuanza huu ujinga waliusikiaga sema hakuna aliyesema zaidi wakiyongea chini chini tu so nimemdunda
Leo nikitoka kanisani tukila sikuku naenda tafuta Lodge shawambia wasinifikilie vibaya kwenda Lodge wakati nyumba ipo nafasi ipo nimemwambia naweza Pata kesi miye maana taweza mpiga vibaya huyu mtu akiendeleza ujinga wake
Wito wangu kwa wazazi ambayo mna watoto wadogo wa kiume wanalala na wa jombaa sijui Kaka chumba kimoja acheni watenganisheni watoto walale watoto mkubwa awe mkubwa msiwachanganye
Kaka inaelekea unapita sana we we!!miaka minne iliyopita ulikutana nae tena!!hebu jipange kaka acha maisha tegemezi!!
Namini penye wengi hapalibiki jambo
Kama mnavyojua tupo katika msimu wa sikuku hivyo nimeamua tembelea ndugu na jamaa
Tatizo ni hivi hapa ugenini tumekuja watu kama wa tatu hivi kama mnavyojua nyumba za mjini vyumba vichache hivyo tu. Chumba ninacholala yupo kijana mwenyeji yeye anaishi hapa hapa tatizo ni kuwa nikianza sinzia na sikia ananistua kwa kunigusa nikistuka anatulia anajifanya kalala hivyo hivyo kama Mala kumi
Inabidi nijikolomeshe nione vip je naota au nashangaa anainuka anakuja ananitikisa nastuka anajifanya kalala
Ajabu uyu kijana anajifanya. Mlokole na anasali kweli
Miaka kama minne iliyopita tulikutanaga sehemu tukapewa hifazi tukalala akawa Anafanya hivi hivi
Leo tena anafanya jamani ebu nijuzeni nini hii maana napanga nizuge nimelala ile anakuja tu nimpige bonge la ngumi nachogopa nipo ugenini naogopa aibu