Msaada,Nipo nyuma saa moja humu jamii forum

Msaada,Nipo nyuma saa moja humu jamii forum

pole sana kwa kuwa upo nyuma
solution. Angalia menu bar utaona neno settings select kisha nenda kwenye general settings! Scrow down utaona kuna dropdown menyu utaweza kubadili. Chagua GMT isiyo na +/- kisha refresh... Ukikwama niambie
Mkuu katika GM inaonyensha +3:00 east africa time. pia hata setting zipo automatic na network provider. Kumbuka saa inayooneka hapa ktk display ipo sawa,tatizo nikipost humu jamii forum ndo haileti usawia.
 
Hapo pia hakuna isiyo na hizo alama,maana zipo named pia either mbele ama nyuma. labda kama uniambie nibadili city mkuu.
 
Back
Top Bottom