Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,074
Wakuu hili jambo limekuwa linanishangaza sana,muda ninaopost humu unakuwa sio sahihi na ule unaonekana ktk vifaa vingine vinavyoonyesha muda. Hii imekuwa inanipa taabu sana mpaka kuhisi pengine jamii forum sio ya tanzania nini. mfano sasa ni 7:52 lakin sio muda wa hii post naouona hapa jf.