youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,270
- 2,987
Mpaka saivi sijui nichukue uamuzi gani, nipo chuo kimoja kikuu hapa Tanzania.
Nasoma ingawa najua cheti cha form four nilitumia jina la mtu mwingine na mimi nilibadilisha jina langu.
NB: NILITUMIA JINA LA MTU KUTOKANA NA HALI YA MAISHA KURUHUSU.
Je niache chuo nikafanye mambo mengine au niendelee kusoma ingawa najua NECTA wakihakiki vyeti vyangu lazima nitakamatwa.