Hata mimi nilidhani atachangamkia fursa kama alivyosema!hahah Mimi nikajua utachangamkia fursa kwa ela hiyo unanivutia na kipoozeo si una majirani wengi tu hahah
Mkuu huyu kaelewa na hajakosea. Kuna mtaa wa Ufipa maeneo ya Kinondoni Dar es Salaam.Mhhh.......
Kuelewa kazi kweli......ivi umeulizwa ufipa au maeneo ya dar?