Msaada: Nipo Dar es salaam jamani

Msaada: Nipo Dar es salaam jamani

Dah...Mie barabara za Morogoro, Ally Hasan Mwinyi, Kilwa, Mandela, Nyerere na Sam Nujoma sijawahi kuziona
 
laki tano kwa siku moja i mean masaa kumi na mbili, maji na korosho na nunua mimi.. kama unakunywa pombea nanunua mizinga miwili ya konyagi.. nitanunua kuku nitamchomea nyumbani nakuja naye ...
Hahahhhhhhaha
 
Mwanagati nlkuja tena nlpangiwa kata ya mzinga kufanya kampeni ngazi ya jimbo ,,nmkatiza mitaa ka kibeberu,mwanagati,tumaini,kivule,mzinga,,etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom