Msaada: Nini maana ya treasury bill (hati fungani)?

Hapa naona mara hizi au zile hutolewa lakini nadhani kuna watu wengi kama mimi hawajui je hizi Treasury bills ni nyaraka au vifaa au ni nini na kama mi nyaraka zinabeba kitu gani ndani yake!???
 
Umetumia lugha rahisi ya mtu kuelewa... Big up
 
Hizo zinazoitwa hatifungani ni hati gani hizo, zina tofauti gani na hati zingine, au kwa kiingereza huitwaje, na hizo hatifungani huwa zinahifadhiwa wapi na zina umhimu gani wa kipekee, na zikipotea athari yake ni nini.
Kifupi HATIFUNGANI ni nini.
 
Hizo zinazoitwa hatifungani ni hati gani hizo, zina tofauti gani na hati zingine, au kwa kiingereza huitwaje, na hizo hatifungani huwa zinahifadhiwa wapi na zina umhimu gani wa kipekee, na zikipotea athari yake ni nini.
Kifupi HATIFUNGANI ni nini.

HATIFUNGANI maana yake ni Kitendo cha Mtanzania kuamka alfajiri Saa 11 kwenda ' Gym ' na ' Kupotelea ' huko huko kwa ' Kutekwa ' na Wazungu wawili wa Tandale na kwa Mnyamani.
 
hazaitolewi wakati inflation inapokuwa juu tu... wakati mwingine serikali inafloat hizi kama njia ya kujipatia fedha kwa ajili ya matumizi yake... inasaidia sana wakati serikali inapokuwa na deficit kwenye budgetary implementation
katika treasury bond wanasema maturity ni 2, 5, 7 up 10 years but uweza pata interest baada ya six months , je katika utaratibu huo unaweza kupata gawio la fedha monthly?
 
Tuliosoma engineering hapa tunaona nyota tu, ngoja niende lunch nikirudi nitasoma tena
Huwezi kuwa umesoma engineering halafu ushindwe kuelewa jambo jepesi kama hili hata kama ni mara yako ya kwanza kulisikia. Labda kama ulisomea enginnering ya kuzibua mitaro michafu.
 

Attachments

Nimekuelewa SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…