Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
kama ulivyoeleza awali, zinasaidia kutibu tatizo la liquidity katika bajeti hiyo (kumbuka bajeti nayo inadumu kwa mwaka mmoja tu). In ideal situation, treasury bill zinatakiwa zitumike kama stop gap measure... lakini (sina hakika) nadhani hapa kwetu serikali inaziona hizo kama mwokozi wa muda mrefu na ushahidi wa hilo ni jinis ambavyo tusivyokuwa na mikakati ya maana hasa ya kuongeza makusanyo. Unapouza treasury bills, ina maana unajiongezea mzigo kwa sababu at the end unapaswa kulipa zaidi ya kile ulichopewa. Kwa maana hiyo, serikali inapotoa treasuty bills, inatakiwa kuan na mikakati ya kuhakikisha kuwa itakusanya zaidi ili kufidia hilo pengo la ziada itaaywalipa 'wawekezaji'..Naam, hapa sasa tupo pamoja. lakini swali linakuja kama maturity yake ni after One Year, na Serikali ina Deficit katika bajeti yake iliyopo maana yake ni kuwa bado hazitasaidia kutatua tatizo meanwhile au?
Hii ni mikataba ya muda mfupi(Isiyozidi mwaka mmoja) kati ya pande mbili,mara nyingi huwa kati ya serikali na mtu binafsi au shirika ambapo serikali upewa fedha kiasi furani na kuahidi kukirudisha kiasi hicho pamoja na riba kiasi furani katika kipindi maalum kisichozidi mwaka mmoja.
Kwa mfano serikali inaweza kuahidi kwamba itatoa shiringi mia moja na kumi katika kila shilingi mia moja iliyochukua kwa mtu binafsi au shirika furani baada ya kipindi cha miezi mitatu,hapo ndiyo utamsikia mtu anasema hati fungani yangu imekaribia kuiva inapokaribia miezi mitatu kuisha.
NB urefu wa mikataba hii utegemea na miundo ya serikali yaweza kuwa miezi mitatu,miezi sita,miezi tisa au mwaka mmoja.However,mkataba zaidi ya mwaka huitwa Government Bond.
Asante mkuu kwa kutueleimisha
thanks
rakini nina swari nikuurizage, je ri serikari retu naro rina hizo bills au zetu hazina varyuu?kiasi furani ...shiringi mia moja... shirika furani baada
.Nashukuru sana mkuu, kwahiyo mikataba hii ni ya kifedha PEKEE? na Je ni lazima iwe kati ya serekali na shirika (kampuni) au hata baina ya shirika(kampuni) na shirika(kampuni) na je ni sifa zipi ambazo shirika (kampuni) zinapaswa kuwanazo ili kupata hizo hati? niatshukuru kwa msaada.
Hukifuatilia vyanzo vya mapato vya serikali yetu,treasury bills na Government bonds ni mojawapo ya vyanzo vya mapato.Namna inavyotolewa ni kama nilivyoeleza kwenye bandiko langu namba 7.rakini nina swari nikuurizage, je ri serikari retu naro rina hizo bills au zetu hazina varyuu?
Hii ni mikataba ya muda mfupi(Isiyozidi mwaka mmoja) kati ya pande mbili,mara nyingi huwa kati ya serikali na mtu binafsi au shirika ambapo serikali upewa fedha kiasi furani na kuahidi kukirudisha kiasi hicho pamoja na riba kiasi furani katika kipindi maalum kisichozidi mwaka mmoja.
Kwa mfano serikali inaweza kuahidi kwamba itatoa shiringi mia moja na kumi katika kila shilingi mia moja iliyochukua kwa mtu binafsi au shirika furani baada ya kipindi cha miezi mitatu,hapo ndiyo utamsikia mtu anasema hati fungani yangu imekaribia kuiva inapokaribia miezi mitatu kuisha.
NB urefu wa mikataba hii utegemea na miundo ya serikali yaweza kuwa miezi mitatu,miezi sita,miezi tisa au mwaka mmoja.However,mkataba zaidi ya mwaka huitwa Government Bond.
.
Ni kweli hii mikataba ni ya kifedha,lakini kwa upande wa baina ya nani na nani,hii si lazima iwe serikali na shirika,yaweza kuwa shirika na shirika.Lakini kwa uzoefu wa nchi yetu hakuna mikataba baina shirika na shirika au mtu binafsi na shirika.
Hapa Tanzania ni baina ya Serikali na shirika au watu binafsi.Uzoefu katika nchi mbalimbali duniani zinaonyesha kuwa majina yaweza kubadilika kulingana na nani aliyezitoa,kwa mfano yaweza kuitwa muniscipal bills,au muniscipal bond kama imetolewa na Halmashauri ya mji au jiji.Kwa upande mwingine yaweza kuitwa corporate bills au corporate bonds kama imetolewa na shirika fulani.
Kwa hapa Tanzania,treasury bill huuzwa kwa mnada katika benki kuu ya Tanzania,makampuni huzishindania ( On auction) na baadhi kuibuka washindi.Hii ni sawa na Majembe Auction wanavyofanya minada yao ( Huu ni mfano hai).
Poa mkuu,na kwako pia!Nashukuru sana sana kwa ufafanuzi mzuri, wikend njema.
Hii ni mikataba ya muda mfupi(Isiyozidi mwaka mmoja) kati ya pande mbili,mara nyingi huwa kati ya serikali na mtu binafsi au shirika ambapo serikali upewa fedha kiasi furani na kuahidi kukirudisha kiasi hicho pamoja na riba kiasi furani katika kipindi maalum kisichozidi mwaka mmoja.
Kwa mfano serikali inaweza kuahidi kwamba itatoa shiringi mia moja na kumi katika kila shilingi mia moja iliyochukua kwa mtu binafsi au shirika furani baada ya kipindi cha miezi mitatu,hapo ndiyo utamsikia mtu anasema hati fungani yangu imekaribia kuiva inapokaribia miezi mitatu kuisha.
NB urefu wa mikataba hii utegemea na miundo ya serikali yaweza kuwa miezi mitatu,miezi sita,miezi tisa au mwaka mmoja.However,mkataba zaidi ya mwaka huitwa Government Bond.
Ukisikia Treasury Bills maana ni za serikali, from the national treasury, yaani hazina zikiratibiwa na benki kuu, pia zina kazi ya ku control mfumuko wa bei kwa kupunguza ama kuongeza fedha kwenye mzunguko. Makampuni kwa makampuni zina majina tofauti, kana mi benki utasikia Fixed deposits, au kamani taasisi inaweza toa REPO etcNashukuru sana mkuu, kwahiyo mikataba hii ni ya kifedha PEKEE? na Je ni lazima iwe kati ya serekali na shirika (kampuni) au hata baina ya shirika(kampuni) na shirika(kampuni) na je ni sifa zipi ambazo shirika (kampuni) zinapaswa kuwanazo ili kupata hizo hati? niatshukuru kwa msaada.
JF ni Noumer,Bonge La Shule!! Aksante Mkuu!!
Ukisikia Treasury Bills maana ni za serikali, from the national treasury, yaani hazina zikiratibiwa na benki kuu, pia zina kazi ya ku control mfumuko wa bei kwa kupunguza ama kuongeza fedha kwenye mzunguko. Makampuni kwa makampuni zina majina tofauti, kana mi benki utasikia Fixed deposits, au kamani taasisi inaweza toa REPO etc
T/bill,bonds huwa zinatolewa na serikali kupitia central bank yake,,,,serikali inapokuwa na upungufu wa pesa ktk matumizi yake wanatoa ripoti hazina kuu kwamba tuna deficit ya eg. billion 50 this month ,xo hazina inatengeneza T/bills zenye value hiyo na kupeleka BOT,zikifika BOT zinaitwa government BONDS,,BOT huwa wanatangaza kuwa tarehe fulani kutakuwa na mnada wa bonds minimum ni milloni labda 40;Na maturity yake ni miaka lets say 5,na annual interest rate ni 15% per annum/year.sasa investor wenye uwezo ambapo huwa mara nyingi ni mabenki,makampuni,mutual funds hata nchi nyingine pia huwa wananunua thats why kwa nchi marekani unasikia 20% ya madeni yao inadaiwa na china.hii haimaanishi kuwa serikali ya marekani ilienda kuomba msaada china hapana,bali ilifata huu utaratibu na hawa chinese people wakanunua.na hii njia ndo inayotumika na serikali kupunguza ama kuongeza mzunguko wa fedha ktk nchi ama ukisikia kuprint pesa kwa serikali ndio hivyo,,hivyo basi kama mtahitaji maelezo zaidi kuhusiana na hii kitu mniambie