Naomba wale Wachumi mnisaidie, Treasury Bills( Nadhani ndio Hati Fungani, Kiswahili), Ni nini?, Na ina faida gani kwa Uchumi wa Nchi kama TZ
..Mkuu Nakushukuru, maana yake ni kwamba Treasury Bills hutolewa wakati ule tu kunapokuwa na Inflation?Hela inapokuwa nyingi katika uchumi/ mzunguko inapelekea mfumuko wa bei. Ili kuleta stability ktk macro economy kwa kupunguza mfumuko wa bei, serikali inatumia Monetary na Fiscal Instruments au policies.
Fiscal instrument 1wapo ni Treasury Bills ambapo Serikali ina issue treasury bills kwa public, public inanunua hzo bills na kwa kuspend hela kufanya manunuzi hayo, hela inapungua ktk mzunguko na kwa ushrkiano na sera nyingne za fedha na kodi mfumuko wa bei hatimaye unapungua, stability inakuwa restored ktk macro economy.
Kwa ufupi serikali inapo issue treasury bills ina borrow/ina kopa frm the public.
Wewe unaponunua Treasury Bill, unauziwa kwa bei pungufu (discounted price). Bdae iki mature (muda wa serikali kuinunua kutoka kwako ukifika) serikali inainunua kwa bei halisi ya treasury bill hyo (face/par value). Faida kwako inakuwa tofauti kati ya discounted price na par value ya treasury bill hyo.
..Mkuu Nakushukuru, maana yake ni kwamba Treasury Bills hutolewa wakati ule tu kunapokuwa na Inflation?
Na hizi Treasury Bills huwa zinasimamiwa na Chombo gani
Asante Mkuu, sasa kwa situation iliyopo TZ sasa hivi ambapo Inflation ipo juu( Double digit, nadhani 17%), Hizi Treasury Bills zinaweza kuokoa situation kama hii? Inflation rate ishukeBenki kuu ndio inasimamia mchakato wa kuziuza na kuzinunua (redemption).
Zinauzwa ili kuleta stability ktk uchumi mkuu (macro economy). At any time kunakuwa na inflation ktk uchumi so ili ku promote na ku sustain price stability ktk uchumi benki kuu ndio inafanya hyo kaz ya kuuza hzo bills.
Kwa kawaida hz znatibu tatizo la mfumuko wa bei kwa muda mfupi (shortrun) ambayo ni mwaka 1 tu.
Asante Mkuu, sasa kwa situation iliyopo TZ sasa hivi ambapo Inflation ipo juu( Double digit, nadhani 17%), Hizi Treasury Bills zinaweza kuokoa situation kama hii? Inflation rate ishuke
kuna treasury Bills na Bonds. Hivi ni vitu viwili tofauti. treasury bills zina maturity ya kuanzia 91days, 182 na 365 days. Kwa kifupi maturity yake ni less than a year. Treasury bonds zina maturity ya more than one yearTreasury Bills au Treasury Bond?
hazaitolewi wakati inflation inapokuwa juu tu... wakati mwingine serikali inafloat hizi kama njia ya kujipatia fedha kwa ajili ya matumizi yake... inasaidia sana wakati serikali inapokuwa na deficit kwenye budgetary implementation..Mkuu Nakushukuru, maana yake ni kwamba Treasury Bills hutolewa wakati ule tu kunapokuwa na Inflation?
Na hizi Treasury Bills huwa zinasimamiwa na Chombo gani
kuna treasury Bills na Bonds. Hivi ni vitu viwili tofauti. treasury bills zina maturity ya kuanzia 91days, 182 na 365 days. Kwa kifupi maturity yake ni less than a year. Treasury bonds zina maturity ya more than one year
...Mkuu nakupata, sasa labda kama hutajali weka wazi hapa hizo sera nyingine(i.e monetary &Fiscal policies) ambazo kwa pamoja na Treasury bills tunaweza zitumia Restore stability ya Inflation . Jaribu kufunguka Mkuu. Ni somo zuriItawezekana kwa ushirikiano na Sera nyingne za fedha(monetar and fiscal policies) treasury bills per se haziwezi ku restore stability. Uchumi ni kama mwili wa binadamu, unaendelea kuish kwa ushrkiano wa viungo vingi. Chakula kikiwa tayari co mwisho wa habari inabd mikono, macho, miguu, akili, vishrkiane ili hatmaye uwe umeshba otherwise mikono tu haiwezi kukufanya ushbe bila ushrkiano wa mdomo. Cjui kama nime2mia mfano mzuri sana.
..Ahaa, i see. Mkuu Rejao means hizi maana yake ni kwamba zote hizi lengo lake ni hilo, Stability Restorationkuna treasury Bills na Bonds. Hivi ni vitu viwili tofauti. treasury bills zina maturity ya kuanzia 91days, 182 na 365 days. Kwa kifupi maturity yake ni less than a year. Treasury bonds zina maturity ya more than one year
..Naam, hapa sasa tupo pamoja. lakini swali linakuja kama maturity yake ni after One Year, na Serikali ina Deficit katika bajeti yake iliyopo maana yake ni kuwa bado hazitasaidia kutatua tatizo meanwhile au?hazaitolewi wakati inflation inapokuwa juu tu... wakati mwingine serikali inafloat hizi kama njia ya kujipatia fedha kwa ajili ya matumizi yake... inasaidia sana wakati serikali inapokuwa na deficit kwenye budgetary implementation
Ndugu zanguni wana JF wanauchumi ahsanteni kwa maelezo hapo juu
Hata hivyo bado naona kuwa nimepata maelezo ya hiyo treasury bills ya kutosheleza lakini kama bado sijaelewa hasa ni kitu gani
Je ni inatolewa kama karatasi fulani ya makubaliano au ni kama note ya fedha or is like what?
Na zinapotolewa huwa zinalenga makundi gani ya watumiaji? say je ni wafanyabiashara wakubwa tu, mabenki au?
Msaada tafadhali ili kuondoa ujinga
Ndugu zanguni wana JF wanauchumi ahsanteni kwa maelezo hapo juu
Hata hivyo bado naona kuwa nimepata maelezo ya hiyo treasury bills ya kutosheleza lakini kama bado sijaelewa hasa ni kitu gani
Je ni inatolewa kama karatasi fulani ya makubaliano au ni kama note ya fedha or is like what?
Na zinapotolewa huwa zinalenga makundi gani ya watumiaji? say je ni wafanyabiashara wakubwa tu, mabenki au?
Msaada tafadhali ili kuondoa ujinga