VidakuziKatika kuperuzi mitandao mbalimbali nimekutana na hii kitu "website hii inatumia cookies " na wanakupa option ya kukubali na kuendelea kuperuzi mtandao husika. Nachopenda kufahamu ni;
1. Cookies ni nini?
2. kwanini wanatumia cookies?
Naomba wenye uelewa na hili wanieleweshe.Asante

... kaka unge-Google si ungepata zaidi ya milion pages zinaelezea hiyo kitu?
Ni vidakuziKatika kuperuzi mitandao mbalimbali nimekutana na hii kitu "website hii inatumia cookies " na wanakupa option ya kukubali na kuendelea kuperuzi mtandao husika. Nachopenda kufahamu ni;
1. Cookies ni nini?
2. kwanini wanatumia cookies?
Naomba wenye uelewa na hili wanieleweshe.Asante
Da hata Mimi limenitesa sana.. Maneno mengine niliyokua siyajui n WTF..BTW na IDKNa mm naomba kujuzwa maana ya hili neno LMAO huwaga sielew kbsa
asante ndugu.nimeongeza kitu leoCookies ni text files zenye information kuhusiana na website ulizotembelea.
Browser ina sehemu maalumu ya kuhifadhia hizi memory.
Sababu kuu ya cookies kuwepo ni nyingi.
Inasaidia ku website kuji customize kwa ajili yako au recommends zako n.k
Mfano ukiingia Amazon uka search bidhaa flani server ya Amazon itatuma hizo text files za kuitwa cookies kwenda kwenye browser yako, next time unaingia Amazon tena utashangaa bidhaa wanaku recommend ni zile zinafanana na last time ukiingia uka search..
Google ads pia wanatumia cookies that's why utakuta yanakuja matangazo tokana na vitu unavyopenda sana ku search online..
Cookies ina kazi nyingi hio ni baadhi tu.
Na mm naomba kujuzwa maana ya hili neno LMAO huwaga sielew kbsa
Mleta mada chukua muongozo...Cookies ni text files zenye information kuhusiana na website ulizotembelea.