M muudy Senior Member Joined May 25, 2013 Posts 156 Reaction score 22 May 27, 2013 #1 wana jf hebu nielewesheni katika simu nyingi ninazonunua katika call setting kuna huduma wanaita call waiting hivi maana yake ni nini na ina umuhimu gani?
wana jf hebu nielewesheni katika simu nyingi ninazonunua katika call setting kuna huduma wanaita call waiting hivi maana yake ni nini na ina umuhimu gani?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,279 Reaction score 44,416 May 27, 2013 #2 ina maana ukipigiwa badala ya kuambiwa mtu kuambiwa namba ipo bize ataambiwa wait