Msaada: Ninatafuta Jengo (2-3 rooms) kwa ajili ya Ofisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Ninatafuta Jengo (2-3 rooms) kwa ajili ya Ofisi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Scopion, Dec 7, 2011.

 1. S

  Scopion New Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WanaJF

  Ninaomba msaada: Ninahitaji jengo la ofisi kama vyumba 2 au 3. Maeneo ninayopendelea yawe: Along Ali Hassan Mwinyi Rd, Msasani kwa Nyerere, Kijitonyama, Masaki na Upanga. Hata kama ni mtaa wa pili kutoka barabara kuu, ni poa tu.

  Niwie radhi...ninajua kuwa ombi hili pengine hapa si mahala pake.....lakini unajua tena tunatafuta kujikwamua na hali hii ngumu...
   
 2. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuuu. weka mambo sawa. budget yako ikoje na unapatikanaje mtu akitaka kukutafuta? au ndo mpka akuPM?
  Kiila la heri mkuu
   
Loading...