Msaada: Ninahitaji MP3 Player kwa Arusha

Tall Guy fam

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2017
Posts
917
Reaction score
1,093
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, ninahitaji Mp3 player, nipo arusha.
kama unafahamu sehemu/duka lolote ninaloweza kupata nakaribisha mchango wako.

Vigezo
Brand: Sony Walkman
Storage: sio chini ya 4 Gb
Condition: Brand New

Natanguliza shukran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…