Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 32,009
- 64,053
In case utarudi online na kuja kucheki uzi wako.
Tecno pop 2 inatumia Android 8.1. naassume wewe una utundu kidogo na hivi vitu.
Weka line kwenye simu yako. Hakikisha line ina majina yaliyoseviwa.
Washa simu. Iunganishe na hotspot kama inavyotaka. Next. Utafika kwenye kuweka password, click 'use my google ac. instead'
Ukifika sehemu ya kuandika email. Bonueza 'Back' mpaka mwanzo kabisa. Kisha bonyeza 'Emergency call' halafu bonyeza mara mbili 'Emergency info'
Utaletwa sehemu yenye ribbon ya kujaza medical emergency na kuna ribbon imeandikwa contacts. Bonyeza contacts.
Yatakuja majina ya kwenye line. Yakichelewa kuja, rudi nyuma na bonyeza tena contacts. Kisha chagua na bonyeza jina lolote.
Libonyeze hilo jina, saa hii litatokea na dots 3 zinaangalia chini upande wa kulia juu. Bonyeza hizo dots. Na chagua share.
NB: Simu zingine huomba permission so uta'allow'
Ukishabonyeza share itakuletea gmail, mms, sms n.k. siyo lazima ije kwa mtiririko nilioandika. Hold kwenye MMS mpaka ikupe option ya 'App notification' now bonyeza App Notification. Kisha shuka sehemu utakuta imeandikwa 'Sms app:: Yes' ibonyeze hiyo sehemu.
Kisha kubali option ya opening links. Chini kabisa utaikuta Youtube. Bonyeza Youtube, kisha bonyeza notification. Chini kabisa utakuta 'About' bonyeza hiyo na chagua option ya 'Youtube terms of services'
Hapo utakua ushaingia kwenye browser ya chrome utakubalia au kukataa itakachokuambia kisha search hii kitu andika 'msa frp by texel' link ya kwanza kabisa itatoka website inaitwa androidhost. Ingia humo na kubali kudownload hii app.
Ikimaliza utaikuta upande wa downloads. Install. Ifungue, utaona inakuuliza for android 6 na android 5. Kubali android 6. Utainstall. Ukimaliza bonyeza option ya pembeni ambayo itakuuliza 'browser sign in' au 'settings' kubali browser sign in.
Itatokea kwenye uwanja ambao juu kulia kutakua na dots tatu. Zibonyeze. Itakupa tena 'Browser sign in' kubali. Utapelekwa sehemu ya kuweka email yako na password.
Ukimaliza kuweka restart simu. Utanotice kua saa hii itakuambia 'account added' endelea kuactivate simu mpaka utakapoweza kuingia kwenye apps.
Nenda kwenye settings. Kisha about device, nenda kwenye software info. Nenda kwenye build number, ibonyeze haraka haraka mara saba, itakuambia 'You are now a developer'
Rudi nyuma mpaka pale kwenye 'About device' juu yake au chini utaona 'Developer options' ingia humo. Enable kisha enable 'oem unlocking' ukimaliza nenda kareset simu.
Ikimaliza na kuwaka hapo inakua kazi imeisha