Msaada: Ninahitaji kufanya factory reset ya simu aina ya Tecno Pop 2

In case utarudi online na kuja kucheki uzi wako.

Tecno pop 2 inatumia Android 8.1. naassume wewe una utundu kidogo na hivi vitu.

Weka line kwenye simu yako. Hakikisha line ina majina yaliyoseviwa.

Washa simu. Iunganishe na hotspot kama inavyotaka. Next. Utafika kwenye kuweka password, click 'use my google ac. instead'

Ukifika sehemu ya kuandika email. Bonueza 'Back' mpaka mwanzo kabisa. Kisha bonyeza 'Emergency call' halafu bonyeza mara mbili 'Emergency info'

Utaletwa sehemu yenye ribbon ya kujaza medical emergency na kuna ribbon imeandikwa contacts. Bonyeza contacts.

Yatakuja majina ya kwenye line. Yakichelewa kuja, rudi nyuma na bonyeza tena contacts. Kisha chagua na bonyeza jina lolote.

Libonyeze hilo jina, saa hii litatokea na dots 3 zinaangalia chini upande wa kulia juu. Bonyeza hizo dots. Na chagua share.

NB: Simu zingine huomba permission so uta'allow'

Ukishabonyeza share itakuletea gmail, mms, sms n.k. siyo lazima ije kwa mtiririko nilioandika. Hold kwenye MMS mpaka ikupe option ya 'App notification' now bonyeza App Notification. Kisha shuka sehemu utakuta imeandikwa 'Sms app:: Yes' ibonyeze hiyo sehemu.

Kisha kubali option ya opening links. Chini kabisa utaikuta Youtube. Bonyeza Youtube, kisha bonyeza notification. Chini kabisa utakuta 'About' bonyeza hiyo na chagua option ya 'Youtube terms of services'

Hapo utakua ushaingia kwenye browser ya chrome utakubalia au kukataa itakachokuambia kisha search hii kitu andika 'msa frp by texel' link ya kwanza kabisa itatoka website inaitwa androidhost. Ingia humo na kubali kudownload hii app.

Ikimaliza utaikuta upande wa downloads. Install. Ifungue, utaona inakuuliza for android 6 na android 5. Kubali android 6. Utainstall. Ukimaliza bonyeza option ya pembeni ambayo itakuuliza 'browser sign in' au 'settings' kubali browser sign in.

Itatokea kwenye uwanja ambao juu kulia kutakua na dots tatu. Zibonyeze. Itakupa tena 'Browser sign in' kubali. Utapelekwa sehemu ya kuweka email yako na password.

Ukimaliza kuweka restart simu. Utanotice kua saa hii itakuambia 'account added' endelea kuactivate simu mpaka utakapoweza kuingia kwenye apps.

Nenda kwenye settings. Kisha about device, nenda kwenye software info. Nenda kwenye build number, ibonyeze haraka haraka mara saba, itakuambia 'You are now a developer'

Rudi nyuma mpaka pale kwenye 'About device' juu yake au chini utaona 'Developer options' ingia humo. Enable kisha enable 'oem unlocking' ukimaliza nenda kareset simu.

Ikimaliza na kuwaka hapo inakua kazi imeisha
 
Duh!!hatari fire
 
Asante sana kwa maelekezo haya, kwa kiasi fulani nilifuata maelekezo na nikafanikiwa lkn kidogo nilibadili uelekeo. Mimi badala ya kuingia share na youtube, nilishea na gmail. Nikaenda kwny app info then nikajaza email yangi, ikanitaka password nikajaza, ikanitaka niset PIN mpya, nikaweka na kuiverify then mchezo ukawa umekwishaaaa.
Samahani kwa kushindwa kuwa narejesha mrejesho kwa kuwa majukumu nayo yanakaba, ila kwa kiasi kikubwa msaada nilioupata humu umefanikisha kupata ufumbuzi wa hii changamoto.
Nawashukuru saana
 
Ni maelezo marefu ila mfano ningekua nafanya mbele yako halafu nakuambia nilipe elfu kumi yangu utasema mbona umemaliza sasa hivi. Mi hua namuambia mtu njoo baadaye ili ajue deal ni ngumu
Sio marefu kama unayafanyia kazi ukiwa na simu husika. It was a very easy task, thank you
 
Ikikupa hiyo option lazima chini paandikwe use my google account instead.

Una email iliyokua kwenye hiyo simu?

Kama unaweza nijibu faster coz naweza toka online
Ilikuwa inanipa hiyo option na bahati mbaya email ya simu sikuwa nayo, ila nilipambana mpk nikafanikiwa hapa nasubiri buku 10 langu toka kwa sister kafurahi sana alijua ndo keshapoteza simu ivooo
 
Asante sana kwa maelekezo haya, kwa kiasi fulani nilifuata maelekezo na nikafanikiwa lkn kidogo nilibadili uelekeo. Mimi badala ya kuingia share na youtube, nilishea na gmail. Nikaenda kwny app info then nikajaza email yangi, ikanitaka password nikajaza, ikanitaka niset PIN mpya, nikaweka na kuiverify then mchezo ukawa umekwishaaaa.
Samahani kwa kushindwa kuwa narejesha mrejesho kwa kuwa majukumu nayo yanakaba, ila kwa kiasi kikubwa msaada nilioupata humu umefanikisha kupata ufumbuzi wa hii changamoto.
Nawashukuru saana
Umeshare na gmail na app info ikakupa option ya kuingiza email?

Mostly tukishare na gmail kisha tukaifuata app info ni ili tuingie kwenye notifications ambapo tutabonyeza alama ya settings ambayo itatuambia inabidi twende kwenye Settings ya simu.

Na hii njia ilifeli kuanzia kwenye Android 7.

So hiki kwangu ni kitu kipya. Nashukuru kwa kunipa somo.

Enjoy.
 
Mimi ilikubali bila shida na nkawa naendellea kufuata maelekezo tu mpaka ikakubali
 
Kama mhusika kasahau password tu haina shida sana.

Click setting>>System>>>Reset Options>>>Factory data reset iache izime na ianze process ya kuji format.

Mahitaji.
1.Bundle la internet au Wi-fi ambayo iko active kwa muda huo.
2.Email ya mwisho kuwa active kwenye kabla hauja i "reset" simu yako.

Then ikiwaka kwa mara hii ,fuata maelekezo ujaze required info kama Jina la owner wa simu ,Lugha utakayotumia, kisha utaamua je unataka apps zako zote zirudi au upotezee zije zilizokuwa kwenye simu mwanzoni kabisaa. Utajaza email then you are done.

Ila kama hata email yenyewe huikumbuki kuna njia ya kuifungua kwa ku bypass FRP hapa kuna tricks nyingi ila nzuri ni ya kutumia phonebook unakuwa kama unashare contact, kama unataka maelezo zaidi ni PM
 
Attachments

  • Screenshot_20200803-103230.png
    Screenshot_20200803-103230.png
    13.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20200803-103738.png
    Screenshot_20200803-103738.png
    13.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20200803-103319.png
    Screenshot_20200803-103319.png
    5.9 KB · Views: 11
  • Screenshot_20200803-103305.png
    Screenshot_20200803-103305.png
    15.9 KB · Views: 14
Kama mhusika kasahau password tu haina shida sana.

Click setting>>System>>>Reset Options>>>Factory data reset iache izime na ianze process ya kuji format.

Mahitaji.
1.Bundle la internet au Wi-fi ambayo iko active kwa muda huo.
2.Email ya mwisho kuwa active kwenye kabla hauja i "reset" simu yako.

Then ikiwaka kwa mara hii ,fuata maelekezo ujaze required info kama Jina la owner wa simu ,Lugha utakayotumia, kisha utaamua je unataka apps zako zote zirudi au upotezee zije zilizokuwa kwenye simu mwanzoni kabisaa. Utajaza email then you are done.

Ila kama hata email yenyewe huikumbuki kuna njia ya kuifungua kwa ku bypass FRP hapa kuna tricks nyingi ila nzuri ni ya kutumia phonebook unakuwa kama unashare contact, kama unataka maelezo zaidi ni PM
Mtu kasahau password unawezaje kwenda kwenye settings?

Na hata kama ukienda mbona ukitaka tu ku-factory reset itakuambia ingiza password.

Au we unazungumzia simu gani?
 
Jamani msaada mim email naikumbuka ila namba simu haipo imepotea namb za password nimesahau pop2
 
In case utarudi online na kuja kucheki uzi wako.

Tecno pop 2 inatumia Android 8.1. naassume wewe una utundu kidogo na hivi vitu.

Weka line kwenye simu yako. Hakikisha line ina majina yaliyoseviwa.

Washa simu. Iunganishe na hotspot kama inavyotaka. Next. Utafika kwenye kuweka password, click 'use my google ac. instead'

Ukifika sehemu ya kuandika email. Bonueza 'Back' mpaka mwanzo kabisa. Kisha bonyeza 'Emergency call' halafu bonyeza mara mbili 'Emergency info'

Utaletwa sehemu yenye ribbon ya kujaza medical emergency na kuna ribbon imeandikwa contacts. Bonyeza contacts.

Yatakuja majina ya kwenye line. Yakichelewa kuja, rudi nyuma na bonyeza tena contacts. Kisha chagua na bonyeza jina lolote.

Libonyeze hilo jina, saa hii litatokea na dots 3 zinaangalia chini upande wa kulia juu. Bonyeza hizo dots. Na chagua share.

NB: Simu zingine huomba permission so uta'allow'

Ukishabonyeza share itakuletea gmail, mms, sms n.k. siyo lazima ije kwa mtiririko nilioandika. Hold kwenye MMS mpaka ikupe option ya 'App notification' now bonyeza App Notification. Kisha shuka sehemu utakuta imeandikwa 'Sms app:: Yes' ibonyeze hiyo sehemu.

Kisha kubali option ya opening links. Chini kabisa utaikuta Youtube. Bonyeza Youtube, kisha bonyeza notification. Chini kabisa utakuta 'About' bonyeza hiyo na chagua option ya 'Youtube terms of services'

Hapo utakua ushaingia kwenye browser ya chrome utakubalia au kukataa itakachokuambia kisha search hii kitu andika 'msa frp by texel' link ya kwanza kabisa itatoka website inaitwa androidhost. Ingia humo na kubali kudownload hii app.

Ikimaliza utaikuta upande wa downloads. Install. Ifungue, utaona inakuuliza for android 6 na android 5. Kubali android 6. Utainstall. Ukimaliza bonyeza option ya pembeni ambayo itakuuliza 'browser sign in' au 'settings' kubali browser sign in.

Itatokea kwenye uwanja ambao juu kulia kutakua na dots tatu. Zibonyeze. Itakupa tena 'Browser sign in' kubali. Utapelekwa sehemu ya kuweka email yako na password.

Ukimaliza kuweka restart simu. Utanotice kua saa hii itakuambia 'account added' endelea kuactivate simu mpaka utakapoweza kuingia kwenye apps.

Nenda kwenye settings. Kisha about device, nenda kwenye software info. Nenda kwenye build number, ibonyeze haraka haraka mara saba, itakuambia 'You are now a developer'

Rudi nyuma mpaka pale kwenye 'About device' juu yake au chini utaona 'Developer options' ingia humo. Enable kisha enable 'oem unlocking' ukimaliza nenda kareset simu.

Ikimaliza na kuwaka hapo inakua kazi imeisha
Hii njia ndefu saaana!
 
Hii njia ndefu saaana!
Hiyo niliandika 2020.

Miaka miwili mbele umekuja kusema njia ni ndefu.

Kuna uwezekano wakati hiyo njia inatumika wewe hukua ukiijua njia ndefu au technology ilikua ipo nyuma
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom