Msaada: Nina vidonda vya tumbo sugu

Mwanaishasadick

New Member
Apr 4, 2021
4
45
Msaada jamani nina vidonda vya tumbo visivyosikia dawa huu ni mwaka sasa yani nawaka moto tumboni na mgongoni nishatumia mpaka heligo kit.

Hospitali nimeambiwa nina gerd hpyrol+ve hiatus hernia duodenal ulcers
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,602
2,000
Msaada jamani nina vidonda vya tumbo visivyosikia dawa huu ni mwaka sasa yani nawaka moto tumboni na mgongoni nishatumia mpaka heligo kit.

Hospitali nimeambiwa nina gerd hpyrol+ve hiatus hernia duodenal ulcers
Pole sana Hakuna Dawa ya Hospitali kukutibu hayo maradhi yako ya vidonda vya tumbo na wala kuwauwa hao wadudu wanaosababisha vidonda vya tumbo aka H-pyrol. Hata kama utatumia dawa kw amuda mwaka mzima sio rahisi kupona maradhi yako. Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguwa pole .
 
nyakisese

JF-Expert Member
May 3, 2020
236
250
Pole sana Hakuna Dawa ya Hospitali kukutibu hayo maradhi yako ya vidonda vya tumbo na wala kuwauwa hao wadudu wanaosababisha vidonda vya tumbo aka H-pyrol. Hata kama utatumia dawa kw amuda mwaka mzima sio rahisi kupona maradhi yako. Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguw apole .
Unapatikana wapi kaka yangu vidonda vya tumbo vina mtesa
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
2,331
2,000
Pole sana Hakuna Dawa ya Hospitali kukutibu hayo maradhi yako ya vidonda vya tumbo na wala kuwauwa hao wadudu wanaosababisha vidonda vya tumbo aka H-pyrol. Hata kama utatumia dawa kw amuda mwaka mzima sio rahisi kupona maradhi yako. Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguw apole .
Umeshaiona fursa mkubwa
 
Mwanaishasadick

New Member
Apr 4, 2021
4
45
Pole sana Hakuna Dawa ya Hospitali kukutibu hayo maradhi yako ya vidonda vya tumbo na wala kuwauwa hao wadudu wanaosababisha vidonda vya tumbo aka H-pyrol. Hata kama utatumia dawa kw amuda mwaka mzima sio rahisi kupona maradhi yako. Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguw apole .
Unapatikana wapi kaka
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,714
2,000
Msaada jamani nina vidonda vya tumbo visivyosikia dawa huu ni mwaka sasa yani nawaka moto tumboni na mgongoni nishatumia mpaka heligo kit.

Hospitali nimeambiwa nina gerd hpyrol+ve hiatus hernia duodenal ulcers
Anza clinic Muhimbili wewe matatizo yako ni makubwa Hiatus Hernia tu yenyewe kama yenyewe ni risk ya kupata vidonda.

Unaitaji uonane na daktari Mbobezi
N:B Mbobezi sio Bingwa
 
Mwanaishasadick

New Member
Apr 4, 2021
4
45
Anza clinic Muhimbili wewe matatizo yako ni makubwa Hiatus Hernia tu yenyewe kama yenyewe ni risk ya kupata vidonda.

Unaitaji uonane na daktari Mbobezi
N:B Mbobezi sio Bingwa
Ndo nimeanzia huko wanasema hawawez kunifanyia op coz ni har ya maumbile tu na hata wakinifanyia itarudi napewa ppi toka mwaka jana mpka nachoka kumeza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom