Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Kuna daktari wa tiba asili anapatikana pale buguruni Kiomboi Kisiriri pharmacy ni bingwa wa kutibu vidonda vya tumbo duniani kwa kutumia tiba asili.wasiliana nae mimi nina ndugu zangu wawili wamepona kabisa ugonjwa huu.namba yake ya simu ni 0784 338513.Anaitwa Dr Rahabu.
 
Mwambie apunguze mawazo,na akifuata masharti anayopewa ni rahisi sana kutibu hilo tatizo,nilipata hiyo shida ya vidonda lakini mimi niliwahi mapema na nikazingatia masharti na sasa hivi niko fit na ninakula aina zote za vyakula,pia ajitahidi kunywa maziwa.
 
Kuna daktari wa tiba asili anapatikana pale buguruni Kiomboi Kisiriri pharmacy ni bingwa wa kutibu vidonda vya tumbo duniani kwa kutumia tiba asili.wasiliana nae mimi nina ndugu zangu wawili wamepona kabisa ugonjwa huu.namba yake ya simu ni 0784 338513.Anaitwa Dr Rahabu.


Nitamtafuta
 
HELIGO KIT in antibiotics ndani yake!

Ushauri!

Aende kwa vipimo zaidi, inawezekana sio vidonda vya tumbo ambavyo tunavihisi/fahamu (hivyo vya H. pylori, NSAIDs, ama vya mawazo); yaweza kuwa ugonjwa mwingine kama Crohn's disease, matatizo ya kifuko cha nyongo, na syndrome yenye my favourite name- Zollinger-Ellison syndrome!


una mawazo mazuri, tatizo ni hiyo tiba na upatikanaj wake. utamwambia dokta yupi hadi akufanyie vipimo vyote hivyo katika hospitali zetu hizi? hata mi nasumbuliwa na alcers sema madokta ni miyeyusho sana. hata hizo heligo hamna kitu. kama kuna tiba ya asili, wajuzi mtuambie
 
kwani mtindi nao unachangia kuongeza maumivu ya vidonda vya tumbo kwa wenye tatizo hilo? nina tatizo hilo na ninapenda sana mtindi
 
Ndio Akinge (Urine) wake awe anakunywa kila Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa wiki moja aende kupima hivyo Vidonda vyake vya Tumbo vitakuwa Vimekwisha kauka na Matatizo yake yatakuwa yamekwisha nasema kweli simtanii hiyo dawa imewasaidia wengi.
There is a very poor old lady who is diabetic.
No money for hospital, no one to help in any way, she was advised to take the same 'urine'
the diabetes is controlled ever since! It's true, the urine helps/cures!
 
Zamani tulifundishwa iwapo umepata jeraha bichi la kutokwa na damu (fresh injury) basi unakojolea jeraha husika; damu inakata hapo hapo na kidonda hupona kwa haraka sn.

Lakini pia kwa waislamu kuna mafundisho yanayosema; "Hakuna Tiba kutokana na Najisi" (Mkojo ktk Uislamu ni najisi); sasa akili kumkichwa km mkojo ni dawa au laah...
 
Peptic Ulcer Home Remedy Using Milk And Banana


Conditions Treated: Digestive

Specific Conditions Treated: Peptic Ulcer

Ingredients Used: Milk, Banana

Description: Peptic Ulcer is also called as Gastric Ulcer, Stomach Ulcer, Ulcer and Duodenal ulcer. Peptic Ulcer is defined as an ulcer in the acid producing area of the intestine. It is very painful and in extreme cases can lead to perforation of the intestine which constitutes a surgical emergency. Peptic Ulcer are caused by H pylori infestations in the intestines. Hyper acidity is also one of the causes of Peptic Ulcer. Banana Milk shake is one of the best remedies for peptic ulcer. Banana Milk shake neutralizes the excess acid and helps the early healing of peptic ulcers. Banana is also known as Musa acuminata.
Directions For Use: Drink a glass of Banana Milk shake 1 hour after dinner. The treatment should be continued for a month. The Peptic Ulcer is healed in a month's time.
Not To Use With: No specific precaution needs to be followed while using this treatment. As Banana Milk shake is safe and well tolerated in the treatment of Peptic Ulcer.
Side Effects: None are seen. As Banana Milk shake is safe and well tolerated in the treatment of Peptic Ulcer.
Expected Results: The Peptic Ulcer is healed in a month's time with the benefits of Banana Milk shake.
Expected Results Within: 1 month
 
Wakuu JF,
Mimi niko nje ya DAR na nimesikia kuna Mtu anaitwa DR. RAHABU amegundua dawa ya kuponya vidonda vya tumbo, ULCERS .
Je wakuu, habari hizi zina ukweli wowote wa kitaalamu?
Eti dawa hiyo inatolewa kwa mazingira ya kutatanisha kama si ya kitaalamu?
Naomba kujuzwa.
 
Achana na matapeli wa kienyeji, nenda hospitali muombe daktari wako akupe tiba inaitwa triple therapy, utapona!
 
Wakuu JF,
Mimi niko nje ya DAR na nimesikia kuna Mtu anaitwa DR. RAHABU amegundua dawa ya kuponya vidonda vya tumbo, ULCERS .
Je wakuu, habari hizi zina ukweli wowote wa kitaalamu?
Eti dawa hiyo inatolewa kwa mazingira ya kutatanisha kama si ya kitaalamu?
Naomba kujuzwa.


Dawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo jamaa anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana.

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/26847-dawa-ya-vidonda-vya-tumbo.html
 
Nimewahi kuisikia.Kuna "DR" mmoja mwana dada yupo Buguruni anatibu hiyo gonjwa. Ufanisi wa dawa yake bado sijaufahamu. Ninachoweza kuhisi harakaharaka hiyo dawa itakuwa imetoka milima ya upareni.
 
Dawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo jamaa anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana.

Hataaaaari
 
huyuo dada anakipindi STAR TV, na huonesha tuvyeti twake twa approval sijui kutoka muhimbili kwamba dawa zake zinaponya ila sijui kama ni kweli!!! na FL1 katoa komenti hapo juu.

sasa akili kumkichwa ndugu....magumashi kibao mjini
 
Miaka miwili iliyopita nilimpeleka mgonjwa wangu kwa huyo dada aitwaye Rahabu pale Buguruni opposite na Shule ya Msingi Buguruni baada ya kusoma habari zake kwenye gazeti moja. Huyu alikuwa na chronic ulcers, kwa mujibu wa vipimo tulivyofanya pale Aga Khan Hospital. Baada ya kutumia dawa za Rahabu na kufuata masharti aliyopewa, alipona kabisa na hivi sasa anakula hata maharage na vyakula vingine ambayo zamani alikuwa hawezi kula kutokana na vidonda vya tumbo.

Nakumbuka wakati anaeleza jinsi dawa zake zinavyofanya kazi alisema hivi: Vidonda vya tumbo haviponi kwa sababu hutengeneza gamba (juu ya vidonda) kwa hiyo dawa nyingi haziwezi kuingia vizuri kwenye vidonda na kutibu. Anachofanya yeye ni kumpa mgonjwa dawa inayoondoa yale magamba, ambayo yote hubanduka na kutoka kwa njia ya kuharisha.

Hivyo siku ya kwanza ya kutumia dawa yake mgonjwa huumwa sana tumbo na kuharisha. Hapo sasa vidonda vinakuwa wazi na ndipo huanza kutibu kwa kutumia dawa zake ambazo anadai alioteshwa baada ya yeye mwenyewe kuteseka kwa muda mrefu na ugonjwa huo. Ukweli ni kwamba mgonjwa wangu yule alipona kabisa na yu mwenye afya nzuri sana hivi sasa. Wakati anaumwa kwa kweli tulikata tamaa...
 
Wakuu JF,
Mimi niko nje ya DAR na nimesikia kuna Mtu anaitwa DR. RAHABU amegundua dawa ya kuponya vidonda vya tumbo, ULCERS .
Je wakuu, habari hizi zina ukweli wowote wa kitaalamu?
Eti dawa hiyo inatolewa kwa mazingira ya kutatanisha kama si ya kitaalamu?
Naomba kujuzwa.


Mkuu achana na hayo ya kujaribu madawa hovyo, kama ushauri wa kunywa mkojo wako na hao waganga wa Buguruni Kisiriri kiomboi> Kapime upate uhakika kama kweli ni una ulcers. Binafsi nilihisi hivyo lakiini nilipoenda kwa vipimo Regency majibu (-) na nikaelezwa kuna ni gas tu. Watu wazima magonjwa kama haya ni common kutokana na majukumu, mastarehe kama mapombe, sometimes mahudhi na masumbuko mengine kwenye maisha.

Tembelea tovuti zifautazo utape pia ushauri ,http://hcd2.bupa.co.uk/fact_sheets/html/peptic_ulcer.html

http://www.healthscout.com/ency/68/119/main.html

Ushauri Mkubwa wa kidaktari ni kujaribu kubadili style ya maisha kama kutokula vaykula baridi, kushindilia mi bia, vitu vyenye gasi, viviungo yenye uwasho kama pilipili, vyakula vyenye kambakamba (fibers) na kuwa na tabasamu muda wote (usipende kukasirika hovyo hovyo).

Staili ya maisha ndio tiba kubwa ya magonjwa ya watu wazima kama haya, hata kisukari, pressure, HIV - AIDS nk.
 
Back
Top Bottom