Msaada: Nina udomo zege usiopimika

kumwaga hela kwenyewe pia huwa kuna hitaji strategy stong otherwise waweza kuishia kuchunwa tu kama mbuzi wa kipaimara
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ni sadaka tu mkuu
Et mbuzi ya kipaimaraπŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Vichochoroni ndiyo raha uso kwa uso hata kuniangalia usoni huwezi 😜😜😜au utanitolea β€œNipe muda nifikirie ombi lako?”

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vichochoroni ndiyo raha uso kwa uso hata kuniangalia usoni huwezi [emoji12][emoji12][emoji12]au utanitolea β€œNipe muda nifikirie ombi lako?”
Nakutolea nje[emoji1787][emoji1787]
Kwanza unanikuta kichochoro gani na wakati mimi si mzururaji kabisa[emoji3]
 
Reactions: BAK
Nunua Vitz mkabidhi funguo, haina haja ya kufungua hata macho
 
Kile cha jirani na kanisani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi utapata ujasiri wa kuongea na mimi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko siriazi Sana..watu wananiogopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu kanisani Mara nyingi naongozana na mama[emoji3]
 
Reactions: BAK
He he he! Labda unaota..
Mimi naota?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Yaani unikute na lile gauni la Yesu ni mwamba afu wewe uanze shusha bongoflava unadhani nitakusikiliza!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dogo ni kwamba bado hujawa mwanaume, siku ukiwa mwanaume utajikuta umeshabwabwaja mtongozo nonstop.....
 
Hahahah vijana wengi wanakula ugoro Kuna mmoja aliweka akajinyea nilishanga hii stori wenzake walileta kwenye kijiwe chetu cha kusoma magazeti nikajiuliza nimechanism gani ya nguvu ya ajabu namna hiyo.
Nipe namba yake....
Kuna comments zinachekesha aki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…