Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,525
- 2,802
Wadau wa jukwaa hili ni matumaini yangu mu wazima. Naomba msaada jamani natumia samsung galaxy s3 mini.ina tatizo la kutoa sauti ndogo sana unapo plug in earphone nilizani Tatizo ni aina ya earphone nikaenda kununua nyingine ajabu kipindi nazi test kila earphone ilikuwa na sauti ndogo.nilizani labda ni Apps za sound nilizi unstall lakini wapi. Nisaidieni wakuu mi ni mpenzi wa redio na music napata taabu hasa nikiwa maeneo ya public.