Msaada: Nina tatizo la kutopata usingizi

Msaada: Nina tatizo la kutopata usingizi

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,395
Reaction score
6,553
Wadau naombeni ushauri,

Nina tatizo lakutopata usingizi yaani usingizi unaanza kunijia saa 9 nakuendelea

Tatizo hilo limenifanya nirudi kwenye matumizi ya sigara ndio napata usingizi.

Ushauri wenu tafadhari
 
Piga zoezi la kutosha jioni,mwili utachoka Sana ,usingizi utakuja tu ,ingawa utawahi kukata
 
Mi nisipopata usingizi naamka napiga pushup kadhaa nikiingia kitandan dakika sifur nalala, namaanisha jaribu kupiga zoezi
 
Fanya mazoezi ya mwili na utafune punje 6 za vitunguu saumu kila unapotaka kulala usiku
 
Wadau naombeni ushauri

nina tatizo lakutopata usingizi yaani usingizi unaanza kunijia saa 9 nakuendelea

tatizo hilo limenifanya nirudi kwenye matumizi ya sigara ndio napata usingizi..
ushauri wenu tafadhari
Anza kufanya mazoezi na hasa kukimbia.
Kunywa maji mengi.
Kula vizuri
Acha pombe na sigara.

#YNWA
 
Unaona huna majukumu ya FAMILY wala kazi.
 
Wadau naombeni ushauri

nina tatizo lakutopata usingizi yaani usingizi unaanza kunijia saa 9 nakuendelea

tatizo hilo limenifanya nirudi kwenye matumizi ya sigara ndio napata usingizi..
ushauri wenu tafadhari
Mzee fanya mazoezi ya jioni, nzuri ufanye mazoezi ya nje ya kukimbia utalala ule usingizi wa mtoto mdogo pia kula mabilinganya kwenye mboga au maziwa fresh usiku utalala kama mbwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom