Msaada: Nina tatizo la kutopata usingizi

Msaada: Nina tatizo la kutopata usingizi

Jitahidi kunywa maji kwa wingi na upunguze stress.
Kuna kitu kinaitwa sleep hygiene
1.Kitanda kiwe safi na mashuka safi , mwili wako uwe safi na uvae nguo nyepesi kama hakuna baridi
2.Ondoa takataka zote nyingine kitandani kama simu,laptop,mito. usiyolalia , nguo ulizovua
3.Usiangalie TV ukiwa kitandani wala kuchezea simu ukifika ni kulala moja kwa moja
4.Epuka kukaa kitandani mda wa kula au kusoma hii inafanya pakuboe na ukifika muda wa kulala panakua hapakuvutii
5.Kama upo kwenye ndoa tendo la ndoa likifanywa kwa ukamilifu na ufanisi ni kichocheo kikubwa sana cha usingizi hasa ukipata "orgasm"

Yakishindikana hayo yote tumia Amitryptylin tablets 12.5 au 25 mg usiku kabla ya kulala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom