Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,078
- 1,227
Habari wadau
Nina tatizo la kufanya mapenzi na mwanamke kwa muda mrefu sana bila kutoa bao au shahawa. Hii hali inanitesa sana kwani siwezi kumkojolea mwanamke.
Nilishawahi kwenda hospital wakanifanyia vipimo na hawajakuta tatizo, hii hali inafanya mwenza wangu ajisikie vibaya kwa kudhani sina hisia nae na ukizingatia umri unasogea na sina familia.
Yaani kwa ufupi siwezi toa bao hadi nijisaidie na mkono, nimepata mtu alie tayari kunizalia lakini linapokuja hili suala la kuchelewa kukojoa nakosa amani kabisa.
Wataalamu naombeni mnisaidie nifanyaje ili namimi niweze kukojoa kama wengine.