Msaada: Nina miaka 10 toka nimalize form four, nitapata wapi cheti changu?

ZNM

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
1,218
1,278
Nina miaka 10 sasa tangu nimalize kidato cha nne na kwa muda wote huo sikukifuata cheti changu cha kidato cha nne!

Sasa nataka kukifuata ila kuna watu wananichanganya, wengine wanasema kwa muda huo kitakuwa wizarani dar na wengine wanasema niende shuleni kipo!

Sasa mimi nipo dar ila shule ipo mkoa wa Mara! Sasa wajuvi nahitaji msaada wenu, lipi la uhakika?
 
Back
Top Bottom