king kan
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,644
- 2,091
Kwahiyo mkuu unaweza ukasoma cpa huku ukiwa hauna foundation ya account?? Na je utakuwa marketable ukilinganisha hauna hata diploma au degree ya hio kitu?? Maana naonaga matangazo mengi ya kazi wanataka mwenye degree lakini awe na cpa,bt cjawahi kuona wanahitaji mtu mwnye cpa bila kuweka vgezo vya hizo kitu
Watu wa aina hiyo wapo wengi. Na ukweli ni kwamba local firms ndio hung'ang'ana na mambo ya degree ya Accountancy. International firms nyingi zimeajiri engineers wanapiga kazi za Uhasibu na Auditing.
Pia kwenye kazi kuna specialization Engineer aliyesoma CPA can do better kuanalyse na kushauri finances za makampuni ya ujenzi au engineering activities kwa kuwa anaelewa vizuri vyote.
Cha mwisho CPA courses zimekuwa designed kukupitisha kwenye foundations zote za Uhasibu kwa hiyo si kweli kwamba utakosa foundation. Na swala la ajira usisome ili upate ajira utapata tabu sana ukimaliza shule ila as long as una CPA kazi utapata. Matangazo yasikutishe kuna professions nyingi kazi zao hawatangazi na watu wanaajiriwa kila siku. Soma be competent usipoajiriwa use the skills kufanya kazi nyinginezo