Msaada: Nina diploma ya engineering nataka kusoma degree ya account

Mbassa jr

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
1,234
Reaction score
3,239
Wakuu nimemaliza diploma ya Civil engneer miaka 3 iliyopita na mwaka huu niliaply chuo lakini nkapangiwa kusoma water resources and irrigation engineering pale chuo cha maji ubungo na bwa mkubwa baba jesca kaninyima mkopo,sasa kutokana na kupigika kwny makampun na kazi kuwa ngumu nilitamani kujilipia ada kwan uwezo huo ninao lakn bado nafkiria hii field ya engineerng tena miaka 4 huku nafanya na kazi itanicost sana kwnye swala la muda,nina tamani na nasukumwa moyoni mwangu kusoma account na hasa nije badae nkimaliza nipige na cpa kbsa,kwa wale mlisomea hiyo fani naombeni ushauri wenu maana naziona fursa zake ni nyingi sana.
Nawasilisha
 
Ukiona kimya ujue watu, wamekushangaa na kujiuliza kuhusu maamuzi magumu kama sio ya ajabu uliyoyafanya duuh umetsha kabsa
 
Anyway sitaki kukushauri ukasome mini, ila nataka wewe mwenyewe uangalie katika hizo mbili course IPI utaweza kujiajiri mwenyewe. Huu sio muda tena wa kusoma ukitegemea uje kuajiriwa my friend
 
Unaweza kusoma engineering baadae ukasomea CPA au unaweza kuacha yote ukaenda kusomea CPA mapema zaidi.
 
Sio rahisi hvoo usemavyo...kwa uelewa wang ili upate CPA,ukiwa na degree inayohusu accounting unaanzia intermediate ila ukiwa tofaut na account utaanzia foundation na Kam hauna basic KABSA ya accounting daah shughuli yke sio nyepesi kihvoo mkuu
 
Mkuu nahisi wewe ni muoga wa shule. Shughuli yake si nyepesi sijakataa ila kama mleta mada alisoma engineering sioni anashindwaje hii shughuli.

Na kama ultimate aim ni kupata CPA kwa nini azunguke njia ndefu? Huyu jamaa akianzia hizo stage unazosema difference yake na aliyemaliza Accountancy related degree ni seatings mbili sawa na mwaka mmoja. Why go for three years kusoma full time chuo?

Ada ya mwaka mmoja chuo inatosha kulipia hizo levels mbili na bado anakuwa na flexibility ya kuendelea na kazi zake
 
Kwahiyo mkuu unaweza ukasoma cpa huku ukiwa hauna foundation ya account?? Na je utakuwa marketable ukilinganisha hauna hata diploma au degree ya hio kitu?? Maana naonaga matangazo mengi ya kazi wanataka mwenye degree lakini awe na cpa,bt cjawahi kuona wanahitaji mtu mwnye cpa bila kuweka vgezo vya hizo kitu
 
Ukiona kimya ujue watu, wamekushangaa na kujiuliza kuhusu maamuzi magumu kama sio ya ajabu uliyoyafanya duuh umetsha kabsa
Hapana mkuu hata maamuzi ya ajabu pia ni maamuzi,naomba msaada wako kama unauelewa wa hii kitu cpa maana ndo target yangu kubwa hasa.
 
Wakuu nimemaliza diploma ya Civil engneer miaka 3 iliyopita na mwaka huu niliaply chuo lakini nkapangiwa kusoma water resources and irrigation engineering pale chuo cha maji ubungo na bwa mkubwa baba jesca kaninyima mkopo,sasa kutokana na kupigika kwny makampun na kazi kuwa ngumu nilitamani kujilipia ada kwan uwezo huo ninao lakn bado nafkiria hii field ya engineerng tena miaka 4 huku nafanya na kazi itanicost sana kwnye swala la muda,nina tamani na nasukumwa moyoni mwangu kusoma account na hasa nije badae nkimaliza nipige na cpa kbsa,kwa wale mlisomea hiyo fani naombeni ushauri wenu maana naziona fursa zake ni nyingi sana.
Nawasilisha

Yap Mkuu katika Accounts ni kweli kwa sasa hasa kwa awamu hii ya Baba ' Jesca ' fursa zipo nyingi sana hasa za kwenda kushinda Gerezani ' Keko ' au ' Segerea ' ukiwa kama ' Mfungwa ' tena ' Mwandamizi 'huku ukipiga vizuri ' Hesabu ' za umepewa ' punje ' ngapi za ' maharage ', umeumwa na ' Mbu ' mara ngapi na kadhalika. Nikutakie tu kila la kheri huko unapoota kwenda. Watu wengine sijui kwanini mnapenda kujitoa ' mhanga ' hasa katika nyanja za hatari tena zikiwa hazijapita hata siku tatu ( 3 ) tokea ' kinukishwe ' TRA.
 
Sio rahisi hvoo usemavyo...kwa uelewa wang ili upate CPA,ukiwa na degree inayohusu accounting unaanzia intermediate ila ukiwa tofaut na account utaanzia foundation na Kam hauna basic KABSA ya accounting daah shughuli yke sio nyepesi kihvoo mkuu
Mkuu sio kweli, unaweza kufanya CPA bila ya kuwa na accounting foundation. Mwenye BCom ana advantage ya ku skip baadhi ya modules ambazo anakuwa amesha cover kwenye degree yake
 
Umesimuliwa kuhusu hiloo unalosema au.. B Com inategemea umespacialize upande gan Kam ulispecialize account ni Sawa,ebu ulizia utaratbu sas utapewa
 
Mkuu nahisi wewe ni muoga wa shule. Shughuli yake si nyepesi sijakataa ila kama mleta mada alisoma engineering sioni anashindwaje hii shughuli.

Na kama ultimate aim ni kupata CPA kwa nini azunguke njia ndefu? Huyu jamaa akianzia hizo stage unazosema difference yake na aliyemaliza Accountancy related degree ni seatings mbili sawa na mwaka mmoja. Why go for three years kusoma full time chuo?

Ada ya mwaka mmoja chuo inatosha kulipia hizo levels mbili na bado anakuwa na flexibility ya kuendelea na kazi zake
Kaka zingatia ushauri huu
 
Kama nia yako ni kusoma CPA kama Leo hii ukianza kusoma utawahi kumaliza kabla ya huyo mwenye degree hajamaliza degree yake. Karibu kwenye ulimwengu wa debit na credit.
Mimi ni CPA(T)
 
Najarbu Kuongea kutokan na uelewa wang mdogo mkuu..mm mwnywe nlifanya PCM advance target yang ikiwa degree nifanye engineering,mathematics na chemistry ndo vilinibeba physics nliambulia kaprinciple tu,nkaona engineering siwez bora nikapge accoountacy target ikiwa CPA,ckuwah kuwa na msingi wa accounting tang form 1,nlianz first year kwa tabu ila nikamalza fresh na sas hvi nmefanya intermediate November hii nasklzia majbu niktoka nifanye final may ila mkuu unachosema na gharama rahisi eti Ada ya mwaka. 1 chuo atalipia level mbili si kweli..level ya intermediate pekee kill somo elfu 90 masomo yapo 6..kuna subscription fees Kam Laki. 3 na Centre nyingi za kusomea ada zao ni 100000-150000 kwa somo 1
 
Umesimuliwa kuhusu hiloo unalosema au.. B Com inategemea umespacialize upande gan Kam ulispecialize account ni Sawa,ebu ulizia utaratbu sas utapewa
Kuna wadau mkuu tulikuwa pamoja, kuna waliomaliza na wengine wanamalizia....hayo ma Bcom na BBA kwenye familia yetu 60% wamesoma...hizo specialization zake zote na zijua....wengine tulishasoma siku nyingi tuna more than 10 yrs kwenye game
 
Sawa
 
Kama nia yako ni kusoma CPA kama Leo hii ukianza kusoma utawahi kumaliza kabla ya huyo mwenye degree hajamaliza degree yake. Karibu kwenye ulimwengu wa debit na credit.
Mimi ni CPA(T)
Yap nia yangu ndo hio mkuu,je na wewe ulipitia njia kama hio ya kusoma cpa bila kuwa na msingi wa awali?? Naomba niku pm ili niweze kupata more details mkuu ili kama inawezekana nikaanze mapema nisipoteze muda.
 
Yap Mkuu katika Accounts ni kweli kwa sasa hasa kwa awamu hii ya Baba ' Jesca ' fursa zipo nyingi sana hasa za kwenda kushinda Gerezani ' Keko ' au ' Segerea ' ukiwa kama ' Mfungwa ' tena ' Mwandamizi 'huku ukipiga vizuri ' Hesabu ' za umepewa ' punje ' ngapi za ' maharage ', umeumwa na ' Mbu ' mara ngapi na kadhalika. Nikutakie tu kila la kheri huko unapoota kwenda. Watu wengine sijui kwanini mnapenda kujitoa ' mhanga ' hasa katika nyanja za hatari tena zikiwa hazijapita hata siku tatu ( 3 ) tokea ' kinukishwe ' TRA.
Mkuu kwani account unategemea kuajiriwa tra pakee??
 
Back
Top Bottom