Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,558
- 45,829
72? nina 91 nilikuwa 96hahahaha miss kama unavuta ndumu ujue !hahha unajistukia tu na ww bwana !imagine mie nilikua na 65 nw nipi 72! usijistukie we vua tu atapaona tu inahu babu wee
72? nina 91 nilikuwa 96hahahaha miss kama unavuta ndumu ujue !hahha unajistukia tu na ww bwana !imagine mie nilikua na 65 nw nipi 72! usijistukie we vua tu atapaona tu inahu babu wee
Nimekuja kasi sana kwenye huu uzi nikajua ni appetite ya ngono, basi sawa, usile sana, too much is harmful.
miss natafuta itabidi ukiwa unarudi from job shukia kituo cha nyuma, afu anza kutembea for 30, ukifika kunywa maji vugu vugu, utakata kilo vizuri sana72? nina 91 nilikuwa 96
Ngoja ajibu, jamaa amenichekesha sana.hapo sasa hebu aje atoe ushauri
Ukiwa tayar kubadilika utaweza, ukichukia tabia hiyo hebu anza kujizuia kwa lazima.hahahhahah aisee nimecheka !sure mkuu ila sasa jinsi ya kuacha ndo nashidnwa
Ukiwa tayar kubadilika utaweza, ukichukia tabia hiyo hebu anza kujizuia kwa lazima vinginevyo utakuwa kama simtank!hahahhahah aisee nimecheka !sure mkuu ila sasa jinsi ya kuacha ndo nashidnwa
Una mimba ya kiumeJaman nadhan kuna watu wa desgn kama yangu mie mbiti !jaman mie nimekuwa napenda kula kula vitu viduchu duchu mnoo !yaan nahis kuna kitu si bure ! imefikia hatua sikosi kitu cha kula kula,vitu navyopenda sana ni vya sukari sukari ubuyu,bites,popcorn za flavor nzur na sukari !yaan niliamua kujitune nile matunda nikawa najihis njaa tu, nikahamia kwenye maji nikaona uzushi yananifanya nile zaid yaan nikikaa bila kula kula najihis sipo okey kbs! sina mwili mkubwa sana but nanenepa kiwango ncha lami
Nikiwa home wknd ndo kabisaaa !naingia kbs jikon kupika pika napendelea zaid kubake ,kufry na kutengeneza smoothies bas ikinijia picha ya samak/au nione nyama nzuri sehem lazimaaa aisee nitajitahd nipate samak,nyama nikaange nile,hapo saa 10 utanikuta jikon natengeneza samosa za pilipili nile au nitatengeneza kitu chochote tu mrad niwe na vifaa !uwiii jaman mbn nahis kuchoka na siipend hii tabia?? na mume nimemuambukiza bas uwii nakesha jipikilisha tu !
madaktari msaada wenu nawezaje acha hii tabia yaan nataka niwe nakula atleast mara 4 tu kwa siku !!!!!!!!!! nikate kbs ice creams na mazaga zaga yake !nataman kuhamia kijijin ambapo ht unga wa ngano ni adimu ,au matunda yasiwepo !
cc Miss Natafuta aka miss papa!mpenda kula kama mie
Mmmh aisee pole sana.... Kwa kawaida inabidi ule milo mitatu kwa siku asubuhi, mchana na jioni...usipende kuchanganya changanya...ukiona karanga njiani unapiga, mahindi ya kuchoma, kashata,mandazi, matunda, mayai ya kuchemsha...duuuh kuwa makini kwa maana bomu unalotengeneza likilipuka ni shidajinsinya kupunguza kula sasa !hatupend ukwel nataman nisile !siku 1 nilisema nafunga kula !nilizimia
unamuonea huruma ya nini? mbn kawaida tutoka ninenepe sijagegedwa maana kila anaenitongoza namuonea huruma
Duh! Kapime mkojo inawezekana kuna tatizosina mkuu na kweli nikiwaga na mimba huwa ni zaid ya mchwa na huwa najifungua madume tupu ila sn mimba