Msaada: Nina appetite iliyopitiliza

yapi hayo ? mie nakula apples sana tu nikimaliza nakula na ubuyu au popcorn argh
nilitajiwa vyakula vyenye calories chache mfano matunda , niliambiwa nikila hayo hata idadi ikiwa kubwa siwezi ongezeka kg
 
asubuhi nimekunywa kikombe cha uji wa lishe
saa nne nikala mkate slace moja na bakuli la tikitimaji
saa saba nikala wali nyama robo sahani
saa nane nikala samaki mdogo mmoja wa kukaanga
hapa nakula tende na maji

ahahaahahah nimecheka jaman mie dah ! afu umewah tengeneza TENDE SHAKE !? taaamu !tengeneza siku moja tupia na strwberry 5 hv hutajuta ! umenicheksha jaman !nagain kilos kila mara arghhhhhhhhhh !
 
Punguzeni kula sana...Too much is harmful

Kula kwa kiasi inatosha sana, mtakuja kupata magonjwa ya tabia halafu mjutie... Kwa hiyo jifunzeni kanuni bora za milo na mazoezi kwa ajili ya miili yenu... Kulakula ovyo bila mpangilio hakufai mwili nao unachoka eti
 
tende shake natengeneza sana tena natupia almond .yaani mimi ni mnene mtu akitaka kunigegeda sijui anaanzia wapi aaah
 
jinsinya kupunguza kula sasa !hatupend ukwel nataman nisile !siku 1 nilisema nafunga kula !nilizimia
 
Punguzeni kula sana...Too much is harmful

Kula kwa kiasi inatosha sana, mtakuja kupata magonjwa ya tabia halafu mjutie... Kwa hiyo jifunzeni kanuni bora za milo na mazoezi kwa ajili ya miili yenu... Kulakula ovyo bila mpangilio hakufai mwili nao unachoka eti
sawa everest tutajitahidi
 
tende shake natengeneza sana tena natupia almond .yaani mimi ni mnene mtu akitaka kunigegeda sijui anaanzia wapi aaah

haaahahah !jaman sijui ni nn hii !maana nina appetite ya kufa mtu !nilienda kigoma last month nilirud nimekonda migebuka ilininyoosha !ila macho yalitumbukia ndan aisee !uwii !
 
mie nagegedeka fresh tu !hahaha !tena vies zipo tu !yaan khaa uso umekuwa round na huku mie ni oval shape uson !mxiewwwwwwww
tende shake natengeneza sana tena natupia almond .yaani mimi ni mnene mtu akitaka kunigegeda sijui anaanzia wapi aaah
 
Diabetes inakuja anza kujihadhari

Mungu wangu nimeogopa sana jaman at dis age jama sukari ? u mean smirnof blak ice nisigonge tena !heheh desperado niache !aisee !naacha rasm kesho !ahsante mkuu
 
toka ninenepe sijagegedwa maana kila anaenitongoza namuonea huruma

hahahaha miss kama unavuta ndumu ujue !hahha unajistukia tu na ww bwana !imagine mie nilikua na 65 nw nipi 72! usijistukie we vua tu atapaona tu inahu babu wee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom