Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,176
- 19,846
Subiri kaje kakupige mtapiko ndo utalijua jiji!!Inakera sana. hlf hapo bado dogo hajaanza kulilia vitu afakamie.
Subiri kaje kakupige mtapiko ndo utalijua jiji!!Inakera sana. hlf hapo bado dogo hajaanza kulilia vitu afakamie.
imeshawahi nitokea hiyo nikitokea songea kuja dar kwa bus linalopitia lindi nilikaa na mdada ana watoto watatu yaani siku hiyo nilikoma ilibidi nivum.ilie tuWakuu nipo safarini nimekaa siti na mdada ana mtoto mkubwa na mabegi. Gari ni Kosta. Hizi siti ni za mtu mmojammoja tu. Huyu mdada hataki kumweka huyu mtoto katikati ya miguu yake (kumpakata) badala yake kamweka kwenye nafasi iliyopokati yangu na yeye kwa hiyo tumebanana si kawaida. Nimeshaanza kukereeka.
Sasa kaniomba ahamishie vitu vingine kwangu eti mizigo imemzidi. Bado sijamjibu natafakari kwanza. Naomba busara zenu nimjibu nini?
Mfumo wetu wa usafiri siyo rafiki kabisa kwa abiria na ndiyo maana yanapotokea majanga maafa yanakuwa makubwa, nadhani kamanda wa kikosi cha usalama barabarani pamoja na mkurugenzi wa sumatra walipaswa kuachia ngazi kutokana na kuto kuwajibika kwao na kusababisha udhaifu mwingi unaoonekana kwenye vyombo vya usafiri nchini
Kama ningekuwa boss wao basi hawa ningeamuru watumie public transport ili waone na kuchukua hatua dhidi ya kero wanazopata raia, lakini kwakuwa wanatumia V8 kamwe hawatasikia wala kuona na kuzifanyia kazi kero hizo
Sielewi hawa watu uwajibikaji wao uko wapi kwaweli, lucky enough uwezekano wa ku track makosa ya wasafirishaji upo ndani ya uwezo wao kwasababu, wanaweza kuhama kutoka gari moja hadi jingine na kufanya ukaguzi kwa kila route,
Imagine mabasi yanatoka stand kuu yamezidisha abiria na wao wako hapo lakini hawachukui hatua zozote,
Nashauri JF ianzishe ukurasa maalumu wa kumfikishia kero na kumlalamikia kamanda wa kikosi cha usalama barabarani na watendaji wake ili kunusuru uhai wa abiria wanaotumia public transport,
Duh ushauri mwingine [emoji15]Kwa lugha nyepesi tu huyo Mdada anautaka Mkuyenge wako pindi mkifika mwisho wa safari yenu. Malizana nae tu Mkuu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaaKwa lugha nyepesi tu huyo Mdada anautaka Mkuyenge wako pindi mkifika mwisho wa safari yenu. Malizana nae tu Mkuu!