Tatizo lako wewe mbona unakanusha sana kwamba hao CCM hawahusiki wakati ndio walioniweka huku kifungoni?
Huwezi jiuliza kwanini niliondoka vyuo vyote hivyo na bado naomba msaada UN na amnesty international?
Kwa hiyo kwaakili zako unahisi nani atanihangaisha namna hii mpaka nifikie jukumu la kuja kuomba msaada humu?
Are you crazy? Nyinyi maCCM siku ipo tuu.
NB 1: Nimejifunza kuna nguvu kubwa inatumika kukanusha majasusi wa CCM hawahusiki wakati ndio sababu ya yote haya.
By the way sina haja ya kujificha kwani wengi wanafahamu hili hata mkilizima kwa namna gani bado waungwana watanisikia.
NB 2: Mnakimbilia kuwa mimi nina matatizo ya akili, kejeli kibao ili kuzima hii ishu ila niwaambieni tu mbinu chafu hii imeoza maeneo yote niliyopita watu wanajua na wananijua vizuri. Nawashauri acheni utoto kama ni kuumbuka mlishaumbuka toka siku nyingi sana.