Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,637
Kisa kizuri sana
Siwezi kabisa mkuu hiyo ni kazi ya MUNGU.sasa mwanajf mwenzetu hao majasusi ulionao wawili kwa nini usijitoe muhanga uwamalize wote ili angalau ufe kiume sasa kama unezungukwa pande zote nne za dunia unategemea nini kitakuokoa au unataka mpaka utaturiwe marinda ndo ujue huna mwokozi.
Ila kiuhalisia uzi wako umekaa kitapeli .wewe utakuwa una uhusiano mkubwa na yale mabango tunayoyaona mabarabarani yakitutaka tujiunge na freemason
kwahiyo unaamini kabisa mungu atawazuia kujutatua marindaSiwezi kabisa mkuu hiyo ni kazi ya MUNGU.
Na sio wawili tuu... nimesema hao wawili ni watanzania niliokuja nao kama wanafunzi.
Nyuma yao kuna kundi kubwa sana la watu.
Yote namuachia Mwenyezi-Mungu.
Kumbuka huwezi shindana na walimwengu.
Mbona nchi hii kuna watu WA upinzani wengi Tu wanasomq na wanagraduate?? Iweje wewe Tu ndo ufuatiliwe mpaka China?? Una nn cha ziada hebu tuambie Mr. KisanduNdugu yangu mimi mtu wa upinzani sasa hao watu wa CCM wakishakusoma na kuona huna time nao wanakuwekea vikwazo kwa namna mbalimbali kama ilivyonitokea pale RUCU na University of Iringa.
Lengo la hayo mateso ni kukulainisha ili uwe upande wao au kwa kifupi uwapende. Haina tofauti sana na wale watuhumiwa wanaopewa mateso makali ili waseme kitu fulani kama wapo suspected... Hicho ndicho nilichofanyiwa na ninachoelea kufanyiwa.
Mimi nikuambie tuu mkuu ni CHADEMA, mimi napenda mabadiliko, mimi ni mwanamapinduzi wenyewe wajua hili ndio maana waliniingilia kwa gia ya mateso.
Lengo la kunitenga ni ili nifadhaike au niteseka moyoni halafu niwapigie magoti... ukisikia vikwazo ndio hivyo sasa yani unabwanwa hadi unashinwa la kufanya mwishowe unakubali tuu kwa sababu huna namna.
Ndio ni wanausamala wa serikali(CCM) nilikuja kugundua mwezi wa nne mwaka 2017 ila kimsingi ishu imeanza muda tuu kwa kifupi nilishapangiwa hii kitu.
So mambo hayaanzi from nowhere bali yalisha pangwa muda... ndivyo wanavyofanya.
Sina hela kwa sababu sina kibarua mkuu na sidhani kama wataruhusu hili... hata nikipata kibarua mahali sitakifanya kwani watatia figisu zao.
Nimeshaacha vyuo viwili sasa hichi cha tatu nishakiacha tatizo sina pakwenda kwa sababu nipo kifungoni japo ni cha nje ila kimsingi nimetekwa halafu niko nchi ya watu kwa hiyo sina pakwenda... sina pesa pia naogopa kusafiri kwa sababu watanimalia... hilo sidhani kama wataruhusu.
Naomba nisaidiwe kibinadamu kwa sababu naishi kama mfungwa... i need to get out of this prison... yanayofanyika huku ni makubwa sana.
Kwa mfano hata hapa utawaona wanavyokuja negatively kunikaisha tamaa eti nilichoandika hakieleweki though najua sijui kupangilia matukio vizuri ila
hapa mwenye nia njema ataelewa kitu... haters watakanusha na kutoa kejeli.
Mkuu mpaka hapo nadhani utapata uhalisia zaidi.
Kwa mfano hata hapa utawaona wanavyokuja negatively kunikaisha tamaa eti nilichoandika hakieleweki though najua sijui kupangilia matukio vizuri ila
hapa mwenye nia njema ataelewa kitu... haters watakanusha na kutoa kejeli.
Huwezi shindana na walimwengu ndugu yangu... tambua hilo.kwahiyo unaamini kabisa mungu atawazuia kujutatua marinda
ni kweli kabisa uongozi wa hospitali ya mirembe wajaribu kuangalia orodha ya wagonjwa wao waliotoroka hivi karibuni ili kujiridhisha kuwa mleta uzi si miongoni mwaoMkuu umetoroka milembe? Maana hueleweki
Atakaye elewa naomba msaada anielekeze nami nielewe
Mkuu, ahsante kwa ushauri wako.@joseph mahoo pole sana naona hii ndio post yako ya kwanza baada ya kuidhinishwa kuwa mwanachama wa JF
Joseph pamoja na hayo yote lakini una tatizo kubwa la kisaikolojia.. HOFU ya kufuatiliwa na watu wasiojulikana na ya kwamba madhila yako yote yanasababishwa na wao
FEAR OF THE UNKNOWN!
Una hofu na visivyojulikana na akili yako inajikuta inavitafsiri kinyume na uhalisia wake na kukujengea mazingira ya
. kuchukiwa
. kuonewa
. kufuatiliwa
. kuuwawa
. kuteswa
. kufelishwa
. kutekwa nknk
Unahitajika kuonana na daktari bingwa wa magonjwa ya akili anaweza kukusaidia sana ukarudi normal... Usipopata tiba mapema utaishia kuwehuka kabisa ama kujiua
Wale wendawazimu wanaopayuka na kukimbiakimbia ama kujifichaficha huku wakisema... Hao! Hao! wanakuja! wanakuja... Wametumwa wametumwa....! Walianza kama wewe... Weka mawasiliano yako hapa utasaidika