Ndugu yangu mimi mtu wa upinzani sasa hao watu wa CCM wakishakusoma na kuona huna time nao wanakuwekea vikwazo kwa namna mbalimbali kama ilivyonitokea pale RUCU na University of Iringa.
Lengo la hayo mateso ni kukulainisha ili uwe upande wao au kwa kifupi uwapende. Haina tofauti sana na wale watuhumiwa wanaopewa mateso makali ili waseme kitu fulani kama wapo suspected... Hicho ndicho nilichofanyiwa na ninachoelea kufanyiwa.
Mimi nikuambie tuu mkuu ni CHADEMA, mimi napenda mabadiliko, mimi ni mwanamapinduzi wenyewe wajua hili ndio maana waliniingilia kwa gia ya mateso.
Lengo la kunitenga ni ili nifadhaike au niteseka moyoni halafu niwapigie magoti... ukisikia vikwazo ndio hivyo sasa yani unabwanwa hadi unashinwa la kufanya mwishowe unakubali tuu kwa sababu huna namna.
Ndio ni wanausamala wa serikali(CCM) nilikuja kugundua mwezi wa nne mwaka 2017 ila kimsingi ishu imeanza muda tuu kwa kifupi nilishapangiwa hii kitu.
So mambo hayaanzi from nowhere bali yalisha pangwa muda... ndivyo wanavyofanya.
Sina hela kwa sababu sina kibarua mkuu na sidhani kama wataruhusu hili... hata nikipata kibarua mahali sitakifanya kwani watatia figisu zao.
Nimeshaacha vyuo viwili sasa hichi cha tatu nishakiacha tatizo sina pakwenda kwa sababu nipo kifungoni japo ni cha nje ila kimsingi nimetekwa halafu niko nchi ya watu kwa hiyo sina pakwenda... sina pesa pia naogopa kusafiri kwa sababu watanimalia... hilo sidhani kama wataruhusu.
Naomba nisaidiwe kibinadamu kwa sababu naishi kama mfungwa... i need to get out of this prison... yanayofanyika huku ni makubwa sana.
Kwa mfano hata hapa utawaona wanavyokuja negatively kunikaisha tamaa eti nilichoandika hakieleweki though najua sijui kupangilia matukio vizuri ila
hapa mwenye nia njema ataelewa kitu... haters watakanusha na kutoa kejeli.
Mkuu mpaka hapo nadhani utapata uhalisia zaidi.[/QUOTE
Ndugu ukiacha historia yako ya vyuoni, umesema ni we ni mwanamapinduzi, chadema. Na chanzo cha mateso yako unasema ni siasa, hivyo basi mi naomba historia yako katika siasa kuanzia ulipoanza hizo siasa na viwango vyako vya ushiriki mpaka hapo ulipo. Kuanzia mitaani, vyuoni nk