Msaada:nimeshindwa kuchukua hela benk kwa m-pesa

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
Habari zenu wakuu?jamani nimerudi tena baada ya kuomba msaada jinsi ya kuchukua hela benki kwa m-pesa,kutokana na maelezo niliyopewa nilitakiwa kupiga *150*03# lakini nimejaribu wananiambia mpaka niende benki kwanza,naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu kama kuna njia nyingine ya kuchukua bila kwenda benk kwa sabababu nipo mbali kweli na benki yaani itanicost hela nyingi na muda wa kama siku nzima kwenda benki na bado hapo sijapanga foleni na hapa nimefulia ile mbaya,nitashukuru kwa yeyote atakayenisaidia
 
ni hivi mkuu. Inatakiwa uende katika tawi la benki lilopo karibu nawe ujisajiri mobile banking ndo kila kitu kiendelee. Hakuna njia tofauti na hiyo..over
 
haifanyi kazi siku hiz, labda utumie cardless service, ila kujiunga ni lazma ukawaone.
 
Back
Top Bottom