Msaada, nimesahau password yangu ya folder lock 7

Skillseeker

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
225
34
Habari za kwenu wanaJF,
Naombeni mnisaidie. Niliinstall folder lock 7.1 na nikaiwekea password (master password). sasa sijaitumia kwa muda kidogo. toka jana nilikuwa nataka kuitumia ili niweze kupata files zangu lakini sijafanikiwa kwa kuwa password ninayoiingiza kila saa siyo yenyewe..Naombeni msaada wenu kwakweli..
yani hapa sijui nini cha kufanya maana kila nikifikiria sipati jibu...
 
Ukipata Live cd ya Linux au ukiinstall linux along side Windows kwishney unaingia na linux unapekua folder lock na mafile yako yote unayatoa bila fujo yeyote unayahamisha then unaweza ifuta afu ukaiweka upya with a new password. Sidhan kama unaweza ku reset hapo. Again ningekua karibu mkuu nina Live ya linux kwa Xternal 2ngerekebisha nkakuwekea na Version 1 ya Linux win ikizingua unaingia na linux kwisha habhari yake. But niko mbali kidogo nw. Tafta linux 2 kama files ni very important, kama ni porn iteme 2 u'll get others lol
 
Ukipata Live cd ya Linux au ukiinstall linux along side Windows kwishney unaingia na linux unapekua folder lock na mafile yako yote unayatoa bila fujo yeyote unayahamisha then unaweza ifuta afu ukaiweka upya with a new password. Sidhan kama unaweza ku reset hapo. Again ningekua karibu mkuu nina Live ya linux kwa Xternal 2ngerekebisha nkakuwekea na Version 1 ya Linux win ikizingua unaingia na linux kwisha habhari yake. But niko mbali kidogo nw. Tafta linux 2 kama files ni very important, kama ni porn iteme 2 u'll get others :lol:
Mmmmhh!! Langu Jicho Tu. :lol:
 
Ukipata Live cd ya Linux au ukiinstall linux along side Windows kwishney unaingia na linux unapekua folder lock na mafile yako yote unayatoa bila fujo yeyote unayahamisha then unaweza ifuta afu ukaiweka upya with a new password. Sidhan kama unaweza ku reset hapo. Again ningekua karibu mkuu nina Live ya linux kwa Xternal 2ngerekebisha nkakuwekea na Version 1 ya Linux win ikizingua unaingia na linux kwisha habhari yake. But niko mbali kidogo nw. Tafta linux 2 kama files ni very important, kama ni porn iteme 2 u'll get others lol

nashukuru sana kaka..sasa vipi kuhusu kuitoa na kuiweka tena maana hata kuiunistall inataka password bado..yani inakiburi sana..
 
mambo zote fanyia in linux, hamna software ya win inayofurukuta unafuta folder lock lote kwenye prog files(shear brute force)
 
Inategemea hiyo folder lock infanta nini exactly maana naona ina locking an encryption, locking unaweza ukaizunguka kwa kwenda Linux au hata safe mode ila Kama ulifanya encryption basi sahau files zako.
 
Kang unanivunja moyo kabisaaa...daaaaahh...basi itabidi nianze zoezi la kutafakari kilasiku kama njia ya kuipata hii password
 
Tafuta nyundo bomoa hilo kufuri. Nani alikuambia ufungie mafaili yako kisha utunza ufnguo carelessly?
 
Jaribu hii share hilo fole kwenye network or adhock mara nyingi foldwe lock nidhaifu kimtindo huwa zinaonekana bila wasiwasi or ifunge hiyo hhd kama slave kwenye OS ya Linux utazitoa hizo files bila shida..all the best
 
Inategemea hiyo folder lock infanta nini exactly maana naona ina locking an encryption, locking unaweza ukaizunguka kwa kwenda Linux au hata safe mode ila Kama ulifanya encryption basi sahau files zako.

bonge la point unajua mheshimiwa. kama ime encrypt hizo files, hata linux haisaidii
Kang nitafute baadaye nikupe mdogo wangu :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom