Habari wandugu, pc yangu ilipata matatzo ya window nikaipeleka kwa rafki yangu ainstall windo mpya.... Kwa bahati mbaya wakat wa kuinstall akaformat local disc D iliyokuwa na data zangu muhimu..msaada nawezaje kupata data zangu?

Hilo ndilo tatizo, siku hizi mtu akijua kuinstall OS tayari kaishakuwa fundi wa computer.
Siku nyingine wapelekee mafundi wenye ujuzi. Zipo software nyingi za ku recover files zilizofutika na ni free download, jaribu ku-google utazipata.
Habari wandugu, pc yangu ilipata matatzo ya window nikaipeleka kwa rafki yangu ainstall windo mpya.... Kwa bahati mbaya wakat wa kuinstall akaformat local disc D iliyokuwa na data zangu muhimu..msaada nawezaje kupata data zangu?
unaweza iinstall kwenye comp hiyo hiyo lakini wakati wakurecover chagua recovered files ziwe saved kwenye external na kumbuka usiweke chochote kwenye pc mpaka urecover files zako
Swali lako ameshalijibu elmagnifico. halafu nimejisahau, hiyo link nliyoweka ni kwa computer za mac, haitafanya kazi kwenye windows, hivyo ukiwa hapohapo TPB, search Stellar Phoenix zitakuja nyingi kisha shusha ya windows.
Cheers!