Msaada: Nimepokea Pesa kutoka Worldremit kuja Mpesa lakini sijapata ujumbe wa Mpesa

Yes, unakuja huo na wa mpesa.
Nashukuru wakuu!

Nimegundua kosa lilifanyika
Mtumaji alikosea namba moja

Ujumbe niliopata ni direct kutoka kwenye Email maana Email ilikua sahihi ila namba alikosea naendelea kuwasiliana na voda haka kahela kasikukuu kasipotee. Ila nawashukuru JF ni msaada
 
Oooh! Kila la kheri mkuu.

Sasa kama alikosea namba si inamaana iliingia kwa mtu mwingine au!!
 
Mbona mimi inanidai sending money from...na Tz haipo?
Mnafanyaje
Screenshot_20240208-073345.jpg
 
Back
Top Bottom