Msaada: Nimepata dharura nahitaji Mkopo wa million mbili, nitarudisha baada ya mwezi mmoja kwa riba ya 20%

shetrish

Member
Nov 15, 2017
6
45
Husika na kichwa cha habari.

Mimi ni dada mfanyabiashara, mpambanaji, ila nimekwama kidogo nahitaji mkopo wa Haraka takupa dhamana ya bodaboda (Mpya Haina hata mwaka) na dhamana ya kiwanja kipo Kigamboni, nimekwama jamani, anayefahamu mtu au taasisi kindly PM.

Asanteni
 

chrisbleez

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
560
1,000
Iyo bodaboda unamaanisha nitakuwa nikiiyangalia tu au unaniruhusu niitembelee au nakaa na kadi?

Pia nataka kufahamu kama ukishindwa kurudisha je tunataifisha hizo dhamana?!!!
 

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
3,328
2,000
Kiwanja hati ipo?? Je ukishindwa kurudisha kwa wakt boda boda na kiwanja namiliki mimi rasmi au vp.
 

chrisbleez

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
560
1,000
Kama sijakosea liba ya asilimia mbili ktk milioni mbili ni kama laki mbili hivi hiyo kwangu ni ndogo labda ufanye asilimia tano kwa wewe
 

shetrish

Member
Nov 15, 2017
6
45
Iyo bodaboda unamaanisha nitakuwa nikiiyangalia tu au unaniruhusu niitembelee au nakaa na kadi?

Pia nataka kufahamu kama ukishindwa kurudisha je tunataifisha hizo dhamana?!!!

Nitakupatia kadi yake na dhamana means nikishindwa kulipa a utaiuza ( ingawa Nina uhakika sitashindwa mana ni pesa nahitaji kwa ajili ya kureplace machine moja wapo ya ofisini Kwangu) naweza kukupatia pia cash flow records za biashara yangu ili ujiridhishe
 

Marcel_10

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
380
250
waTz kwenye swala la huruma limewakaria kushoto sana

kaka ngoja nikueleze Mimi Sina hiyo pesa, Ila pia waTz wengi wazushi tu ,angalia hapo maswali yalivyojuwa mengi pasipo kujitokeza hata mrummoja ambaye anaweza kukupoa hiyo pesa.Mtaznzania yupo lazi amnyime nduguye atumie pesa hiyohyo akalie Bata
watz tuwe waungwana
 

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
584
1,000
Kwa bahati mbaya upo mbali na kuaminiana kweny mitandao ni ngumu kulingana na hali ilivyo kwa sasa. Ningekupeleka kwa mtu ambaye angekusaidia hilo hitaji lako kwa haraka sana.
 

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
6,722
2,000
Husika na kichwa cha habari.

Mimi ni dada mfanyabiashara, mpambanaji, ila nimekwama kidogo nahitaji mkopo wa Haraka takupa dhamana ya bodaboda (Mpya Haina hata mwaka) na dhamana ya kiwanja kipo Kigamboni, nimekwama jamani, anayefahamu mtu au taasisi kindly PM.

Asanteni
Mkuu bora kuuza kuliko dhamana.

Utapigwa kijini sahau upoteze kila kitu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom