Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Inamaana walochaguliwa wanaandikiwa chuo walochaguliwa ama..inakuwa imefanyika bado kuwa released mkuu ukiona ivo
hyo diploma au degree??Wakuu Habari Zenu!
Leo Naona Kwenye Profile Yangu Ya TCU wameniandikia Hivi:-
"Now Wait for Second Selection which is Expected on 31/08/2016"
Sasa Hapa Pamenipa Wasi Wasi Wa Kuhisi Kwamba Katika First Selection Nimetupwa Nje Ya Fence!
Kwa Wale Wazoefu Hebu Nifahamisheni Je, First Selection imeshafanyika? Au Huwa Wakiandika Hivyo Wanamaanisha Nini?View attachment 386836
inakuwa imefanyika bado kuwa released mkuu ukiona ivo
hyo diploma au degree??
Duuh uliomba kupitia NACTE? Coz Mimi kuna ndugu yangu aliomba alichaguliwa first selection kwa category ya cheti na diploma sio bachelor akawa amechaguliwa! Sasa Jana amepewa nauli kwenda kufatilia Chuo alichochaguliwa kuingia kwenye profile yake amekuta ameandikiwa hivyo.Sasa ata hatuelewi mpaka mda huu afanyaje! Kama kuna mtu anaweza kutusaidia mawazo atusaidie tufanyeje?
Waliochaguliwa ni wale from form six...second selection ni kutoka diploma
Nacte walushafanya selection kwa batch tofaut tofauti so subir
mkuuu naona hujajua katika selection wanafanyaje hilo ndilo tatizo kuelewa selection zote kuanzia kidato cha tano wakuu wa shule au vyuo wanahusikaInamaana walochaguliwa wanaandikiwa chuo walochaguliwa ama..
Sikuomba NACTE, nimeomba TCU (Bachelor).
Ilo tatizo ata ndugu yangu limemkuta asa sijui tatizo nini?Nauliza pia kuna mtu aliapply nacte diploma akaandikiwa congratuation umekiwa selected afu leo analog in anaona tena hamna chochote ni zile program alizoapply ndo zpo haionesh kama amechaguliwa