Msaada: Nimekwama kwenye kuomba mkopo HESLB

Msaada: Nimekwama kwenye kuomba mkopo HESLB

memento mori

Member
Joined
Jan 23, 2021
Posts
22
Reaction score
18
IMG_0212.png

Habari jamani, naombeni mnisaidie. Nimeapply nikafika mwisho lakini ikaniambia sijakamilisha preliminary info, nikarud kujaza hzo taarifa.

Kila nikijaza niruhusu kuendelea na hatua nyingine inaload sana, siku ya 3 sasa bado inaload tu, nikabadilisha browser lakini bado, siku nazo zinakaribia deadline.

Nisaidieni tafadhali.
 
View attachment 2771261

habari jamani..naombeni mnisaidie..nimeapply nikafika mwsho lakini ikaniambia sijakamilisha preliminary info,nikarud kujaza hzo taarifa,kila nikijaza niruhusu kuendelea na hatua nyingine inaload sana,siku ya 3 sasa bado inaload tu..nkabadilisha browser lakn bado..siku nazo zinakaribia deadline..nisaidien tafadhali
Kuokoa jahazi, nenda stationery, wana utaalamu sana wa haya mambo ya applications mbali mbali., vinginevyo utapitwa a deadline. Ulizia kwenye stationery inayofanya haya mambo ya applications....
 
View attachment 2771261

Habari jamani, naombeni mnisaidie. Nimeapply nikafika mwisho lakini ikaniambia sijakamilisha preliminary info, nikarud kujaza hzo taarifa.

Kila nikijaza niruhusu kuendelea na hatua nyingine inaload sana, siku ya 3 sasa bado inaload tu, nikabadilisha browser lakini bado, siku nazo zinakaribia deadline.

Nisaidieni tafadhali.
ACHA KUTUMIA SIMU TUMIA COMPUTER
 
Back
Top Bottom