Umekunywa chai ??Wazee yaani hawamudu haja yake ndio waliochoka wao wanataka wazee wenzao ambao hawachoshani ni kwa raha zao sasa vijana wanataka vijana wenzao wenye kuwezana.
So ndio hivyo.
Mimi napendaga wazee ndio dili wakaka wachovu tu.
Kama yule amber nanii labdaWadada waliochoka wakoje??
[emoji23][emoji23][emoji23]wew kibokoebu walengeshe kwangu mkuu,maana me hata hao waliojichokea siwapati kabisa.
sioni kitu
Naona umekuja kujifariji, baada ya kujiona hupati warembo?
Kama yule amber nanii labda