Msaada nimekutana na tapeli wa mapenzi

Msaada nimekutana na tapeli wa mapenzi

wengi wenu wanapapatikia wazungu hadi kwenye izo skyepe wanaowaonyesha wazungu wakijipiga vidole.
 
norway imekuchanganya au nin?
 
jamani wanandugu mimi nimeomba ushauri mnaanza kunishambulia tena du!!!!!!!!
 
Kama ndani ya mwezi tu mmefikia hapo ikipita miwili utakua norway,(ndio mawazo yako ee)komaa hivohivoo
 
umeshasema ni tapeli unataka ushauri gani tena bibie ,cheza kamari yako mwenyewe!!!!
 
Umzima weye?
Mie nguo zangu chafu naomba ushauri wenu zijioshe!!!!

haha! Kanunue mashine ya kufulia mkuu zitajioshaje hadi kupasiwa na kukuvalisha kabisa! Hahahaha! Niko poooa!
 
Tatizo wadada wengi mnapenda kujiweka kwa wazungu mkijua wana hela
aya komaa na yahaya wako sasa...ATM hiyo
 
Sasa mmetapeliana kwenye Skype...tena utapeli wenyewe wa kimapenzi...unakuja huku tukuthibitishie ni mzungu au mweusi? Hujui kuna wazungu koko wenye ancient makabila ya Bongo! Ingia U turn kuna mama ya Muzungu atakusaidia
 
Watu kama nyie ndio huwa mnafanywa mbuzi wa kafara...
 
Yani unavyo lalamika kama unamfaham au alishawahi kuwa mzenzi wako? ivi unaakili timamu wewe? Mungu wako akupe akili na sio akili ulionayo, yani nashindwa kuelewa kabisa lol! kwaiyo ulitakaje? akutapeli kwanza au?
 
Mkubalie tu ndio ushauri wangu. Atakuoa atakupeleka Norway halafu mtazaa matochara. Utaringa mjini.

Mkubalie kwa moyo mmoja.
 
serikali mbovu sana,jk ndio basi tena!!!!
ooh sor jamani,huyu dada ndiye kanichanganya na huu uzuzu wa rangi nyeupe
 
walk away when you can.
umenikumbusha mbali saaana ''COWARD OF THE COUNTRY by Kenny Rogers'' acha nikumbushie kdogo....
I still recall the final words my brother said to Tommy:
"Son, my life is over, but yours is just begun.
Promise me, son, not to do the things I've done.
Walk away from trouble if you can.
Now it won't mean you're weak if you turn the other cheek.
I hope you're old enough to understand:
Son, you don't have to fight to be a man."
Thanx DEMBA yaan umepitisha cku yangu leo
 
ahsante pia kwa mistari mizuri sijui mtoa mada ameiona.
 
Back
Top Bottom