Msaada nimekutana na tapeli wa mapenzi

Msaada nimekutana na tapeli wa mapenzi

maimatha

Senior Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
129
Reaction score
162
habari zenu wana jamvi..... samahani jamani naombeni msaada wa mawazo mimi natumia skype kama mwezi mmoja hv kuna mzungu mmoja akashare contact na mimi tumeendelea mpaka tukaanza relation za kioungo na ukwel anadai anakaa norway.... lakini inavyonyesha hata chating yake kama ya kibongo bongo vile nikajaribu kumpigia skype ni mzungu kweli lakini kuna rafiki yangu kaniambia huyo ni tapeli anaitwa yahaya. naombeni msaada nifanyeje nijue ukweli??? yeye anajiita Hans Brakstad
 
Sasa kama ushajua ni tapeli unataka ushauri gani tena? haya mi nakushauri endelea nae na mzidishe mawasiliano hadi akishakutapeli uje kutupa taarifa
 
Na hapa tutailalamikia serikali tu
 
Du, :A S 13::A S 13::A S 13:....:hand:!

Nna hangover...
 
habari zenu wana jamvi..... samahani jamani naombeni msaada wa mawazo mimi natumia skype kama mwezi mmoja hv kuna mzungu mmoja akashare contact na mimi tumeendelea mpaka tukaanza relation za kioungo na ukwel anadai anakaa norway.... lakini inavyonyesha hata chating yake kama ya kibongo bongo vile nikajaribu kumpigia skype ni mzungu kweli lakini kuna rafiki yangu kaniambia huyo ni tapeli anaitwa yahaya. naombeni msaada nifanyeje nijue ukweli??? yeye anajiita Hans Brakstad
Sasa ulishaingiwa na tamaa ya kwenda norway lol....wewe unachat na watu usowajua hivi unafahamu kitu kinachoitwa SEX TRAFFICKING/HUMAN TRAFFICKING Unalaghaiwa unapendwa unaletwa ulaya,wengine mpaka wanaolewa kabisaaa then unalipishwa pesa zilizotumiwa kukuleta europe kwa wewe kujiuza mwili wako na pesa zote unawapa wale walokuleta..Unapokonywa documents zote(passports)unafungiwa kwenye chumba/nyumba na unaambiwa ukisema chochote polisi au watsoever unauliwa/au huko kweu ndugu zako wanaweza kuuliwa...BE VERY CAREFUL my dear...This world is full of monsters...
 
Sasa ulishaingiwa na tamaa ya kwenda norway lol....wewe unachat na watu usowajua hivi unafahamu kitu kinachoitwa SEXUAL TRAFFICKING...Unalaghaiwa unapendwa unaletwa ulaya,wengine mpaka wanaolewa kabisaaa then unalipishwa pesa zilizotumiwa kukuleta europe kwa wewe kujiuza mwili wako na pesa zote unawapa wale walokuleta..BE VERY CAREFUL my dear...This world is full of monsters...
Mpendwa Ubarikiwe na Heshima kwako. Zaidi niongeze WaUlaya wakisha kutumia na kukupwaga Hulazimisha Mbwa zao kudu!! na sii ajabu kuchukua video clips live katika tendo Haramu!! Ooh God forebide ! Mungu atunusuru..
 
Mambo mengine hata sio yakusema kwakweli,sasa mpaka hapo ushakua na wasiwasi nae bado unataka BP zaidi ya nini?
kama unawasiwasi nae si achana nae au ndio mwanzo unaaanza kutumua skype? sasa kama ndio unaanza wapuuzi kama hao wengi sana tumia mda wako kwa watu wa muhimu.......
 
habari zenu wana jamvi..... samahani jamani naombeni msaada wa mawazo mimi natumia skype kama mwezi mmoja hv kuna mzungu mmoja akashare contact na mimi tumeendelea mpaka tukaanza relation za kioungo na ukwel anadai anakaa norway.... lakini inavyonyesha hata chating yake kama ya kibongo bongo vile nikajaribu kumpigia skype ni mzungu kweli lakini kuna rafiki yangu kaniambia huyo ni tapeli anaitwa yahaya. naombeni msaada nifanyeje nijue ukweli??? yeye anajiita Hans Brakstad
Hakuna utapeli wa mapenzi katika sayari dunia eti. ila kuna kutokuafikiana katika mapenzi
 
kama ni huyu mwenye hizi adress hakuna mapenzi hapo!! Name:

Hans A Brakstad. Spouse: Dagny K E Brakstad. Birth: abt 1888 - location. Arrival: year. Residence: 1930 - city, St Louis, Minnesota
 
Tangu umeanza kuhangaikia wazungu umepata nini, usitushirikishe kwenye uskype wako
 
habari zenu wana jamvi..... samahani jamani naombeni msaada wa mawazo mimi natumia skype kama mwezi mmoja hv kuna mzungu mmoja akashare contact na mimi tumeendelea mpaka tukaanza relation za kioungo na ukwel anadai anakaa norway.... lakini inavyonyesha hata chating yake kama ya kibongo bongo vile nikajaribu kumpigia skype ni mzungu kweli lakini kuna rafiki yangu kaniambia huyo ni tapeli anaitwa yahaya. naombeni msaada nifanyeje nijue ukweli??? yeye anajiita Hans Brakstad
Inawezekana na wewe ni victim wa card skimming...angalia usijekujifanya una upendo wa online ikala kwako.
wengi hudanganyika na mapenzi hayo na kutoa banking informations kwakuaidiwa utatumiwa hela na mpezi wako huyo waki-online...kumbe anakwenda kuzifanyia kazi banking infos zako na baadae anakuja kukuibia.
mbili kama unahamu ya kuolewa na mbwa, goodluck sis.........
 
endelea tu, si ushasema uko kwenye "relations za kiuongo na kweli" ama?
 
unamtaka huyo mzungu! iandae 0713 kwa lolote lile pia n mbwa wake mfikirie tu!
 
Back
Top Bottom