wadau wa jf hebu nielewesheni juzi baada ya ku login katika account yangu ya facebook nimekuta replay kibao baada ya kuangalia sent messege nakuta messege kibao ambazo cjazituma mimi SWALI:jee mtu anaweza ku hack account yako bila ya ku change pasword kama jawabu ni ndio hebu nami nielewesheni jinsi ya kufanya hivyo