Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

Na shangazi muombe kukata mzizi wa fitina.
 
unajua ishu nzito hiyo mkuu usiichukulie kitoto... kesi hiyo..!!!!
 
story haina mshiko uongo mtupu
kuna story za uwongo na hii imekaa vibaya sana na ngumu sana kuamini ndo maana unasema uwongo... ingekuwa inaelezeka nisingekuja huku ila imenikalia kushoto sana ndo maana nimekuja kuomba msaada huku... ahsante kwa kushiriki.
 
kwani kuna ushahidi kuwa alikuona ndani, ushauri wangu kwenye kikao usiende wakikuuliza waambie upo busy na mambo ya maendeleo majirani wakikuuliza waambie sio mimi, kama kungekuwa na ushahidi hapo sawa lakini mlikuwa wawili bro kataa
bro kuniona ameniona sema mimi nilivyoshtuka kuwa shangazi mtu yupo sikuongea kitu badala yake nilirudi nyuma nikasepa kwangu... ila ameniona mkuu.
 
mkuu ushaaribu tayari wee chakufanya komaa na uwo msemo kuwa ulikuwa umelewa na ukasahau vyumba icho tu

usibadili maneno wala kuyumba kama wanajua kuwa utumi pombe wambie ndo mara yako ya kwanza iyo jana full stop
unajua nilitaka nijichanganye ile asubuhi ila alivyokataa ndo kanipa chance ya kujitetea vizuri sababu angekubali ile asubuhi nafikiri kila kitu kilikuwa online had muda huu..!!!!
 
unajua ishu nzito hiyo mkuu usiichukulie kitoto... kesi hiyo..!!!!
Kesi kwani huyo msichana ni under 18?? Hata hivo unatakiwa kusema hivo na hamna kingine cha kujitetea labda useme ulikuwa unaota kitu ambacho hakiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…