Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

kuisha najua yataisha mkuu ila yaishe vizuri sasa maana kuna kuisha vibaya mwisho nionekane sina maana.. nipeni akili ya kujikwamua kwenye kikao yule shangazi kamaindi sana anapiga piga simu ovyo tu kwa ndugu zake sijui alijua nataka kumbaka..!!!
Huyo shqngazi nae kiherehere sasa simu zote za nini. Au kuna kitu alikuomba ukamnyima sasa umeingia kwenye anga zake. Au njaa inamsumbua anataka apate pa kuponea.
 
Huyo shqngazi nae kiherehere sasa simu zote za nini. Au kuna kitu alikuomba ukamnyima sasa umeingia kwenye anga zake. Au njaa inamsumbua anataka apate pa kuponea.
jana nimeamua nichelewe kurudi... eti kanisubiria nje mpaka nilivyorudi yule shangazi ana yake sio bure...
 
Nacheka tu mm nawaza tu ulivyo na unavyojiwazia kuhusu kikao [emoji23][emoji23][emoji23] acha nikupe pole tu hivi ungemkula chumbani kwako hayo yote yangetokea wapi
mapenzi Shunie .. kwan hujui sauti zenu zinavyotupaga mitihani..!!!!
 
jana nimeamua nichelewe kurudi... eti kanisubiria nje mpaka nilivyorudi yule shangazi ana yake sio bure...
Huyo anataka umgengede tu hakuna kingine au akupige za uso na hii January ilivyokaaa.
 
Kumbe ndo wewe nimesikia mwenye nyumba anakuongelea asubuhi, walah usiponipa mlungula wa konyagi kubwa nakuchoma na nawaonesha huu Uzi wako.
ha!!! ha!! ha!!! ha!!!
mkuu ngoja yakukute... kuteseka kwa zamu...!!!
 
Huyo anataka umgengede tu hakuna kingine au akupige za uso na hii January ilivyokaaa.
anipige za uso sasa si angesema japo ningemwambia fanya unanidai maana sina hela kwa sasa..!!!
 
KANA NA USIKUBALI CHOCHOTE UTAPONA,.
 
Kasikilize wimbo wa SHAGGY unaitwa wasn't me,kisha bisha mwanzo mwisho kuwa hukuwa wewe.
 
Sema ni pacha wako, sema amesharudi kwenu mlikozaliwa, Kigoma, mkoa wa Tanga, karibu na Lindi vijijini kabisa, tarafa ya Kasulu karibu sana na pale Uyole.
watahisi naleta utani na yatakuja mengine tena..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…