Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

imefkia wapi mkuu mpaka sasa???
mkuu nimechelewa kurudi home wamesubiri wamechoka wameamua kulala zao ila yule shangazi eti amekesha nje kunisubiria mpaka akutane na mimi....
 
Kumgegeda mpangaji mwenzio au mtoto wa mwenye nyumba ni hatari kwa afya yako.
mkuu bucha likiwa karibu na nyama imenona utaacha na kwenda mbali kununua..!!!
 
Don ulishawahi kukosea chumba eeeh
 
Sema tu ulikose mlango , maana hapo sasa ukijikoroga tu unaweza kuonekana umeanza tabua ya wizi kuiba kwenye nyumba za watu
 
Mkuu nakushauri ongea na mwenye nyumba aweke milango haiwezekan mkaish watu wengi af kuna mapazia tu mtu unaweza tu kuingia bila kupiga hodi, shangaz pia mwambie awe analala uchi ili siku ukikosea pena ukiingia tu unaona papa lake
****.make
 
Huyu Bana hataki kushauriwa
 
Kumbe ndo wewe nimesikia mwenye nyumba anakuongelea asubuhi, walah usiponipa mlungula wa konyagi kubwa nakuchoma na nawaonesha huu Uzi wako.
 
Nacheka tu mm nawaza tu ulivyo na unavyojiwazia kuhusu kikao [emoji23][emoji23][emoji23] acha nikupe pole tu hivi ungemkula chumbani kwako hayo yote yangetokea wapi
 
shenzi type, ndio ukome.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sema ni pacha wako, sema amesharudi kwenu mlikozaliwa, Kigoma, mkoa wa Tanga, karibu na Lindi vijijini kabisa, tarafa ya Kasulu karibu sana na pale Uyole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…