Msaada: Nimeitwa kwenye mchujo wa awali kama fundi umeme, naomba anayejua anisaidie

MbongoPESA

New Member
Jul 23, 2017
3
0
Habari ndugu , nimeitwa katika usaili wa mchujo/awali kama ni fundi umeme ila naitaji mtu alie pitia hii inshu anielekezE katika usaili wa mchujo/awali kuna nini cha zaida naombeni ndugu zangu
 
Ukikosa kazi utanicheki inbox tuangalie ni namna gani tunaweza kutumia ujuzi wako wa umeme kujiingizia kipato, tunaweza kuanzisha kaofisi then tukawa tunatafuta tenda za kufanya wiring kwenye nyumba za watu na matengenezo mengine madogo madogo. Kila la kheri katika usaili wako mkuu
 
Back
Top Bottom