Sasa mbona saa nne ishapita tayar au ina maana umeghairi kwenda hadi watu wakuelezee kuhushu hiyo kampuniHabari za asubuhi wadau, jana jioni nilipata ujumbe mfupi kwa njia ya sms ikinitaka leo asubuhi saa nne asubuhi nihudhurie interview kwenye nafasi ya HR officer, kwa uzoefu wenu ningependa kuwafahamu hawa watu kwa undani..nawasilisha