Tumia Lucky Patcher,, Achana na Adaway..I hope wadau mpo poa... Natumia lenovo phab2 plus 670m na ina Android 6.0 nimeroot na nimeinstall adaway kuzuia matangazo lakini cha kushangaza matangazo yanakuja kama kawaida msaada nini nifanye matangazo yasije tena? View attachment 778679
Kwakuwa simu yako tayari ipo rooted nakushauri tumia lucky patcher kuondoa hayo matangazoI hope wadau mpo poa... Natumia lenovo phab2 plus 670m na ina Android 6.0 nimeroot na nimeinstall adaway kuzuia matangazo lakini cha kushangaza matangazo yanakuja kama kawaida msaada nini nifanye matangazo yasije tena? View attachment 778679